Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
In public yes you must side with yoyr hubby ila nafhani ndani kutakua ni vita muraaAaaggghhhh yule mama kamanda! Hukumsikia alivyosema yupo pamoja na mumewe???
In public yes you must side with yoyr hubby ila nafhani ndani kutakua ni vita muraaAaaggghhhh yule mama kamanda! Hukumsikia alivyosema yupo pamoja na mumewe???
Ukisha side in public unapoteza hoja na nguvu in privateIn public yes you must side with yoyr hubby ila nafhani ndani kutakua ni vita muraa
All in all huwezi kupingana na mume wako mbele za watu huko ni kukosa adabu, hata kama amekosea ni lazima uonyeshe upo upande wake ili kutomvunjia heshima na kutovunja heshima ya ndoa yenuUkisha side in public unapoteza hoja na nguvu in private
True dat sikufichi nina huruma sijui ni huu upole and understanding nature ila nikikubadilikia utajuta. Ni zaidi ya mbogo kama ukionesha kujisahau kimaadili kwa makusudi.



aiseDuuh yaani kumuoa mwanamke ni kumpendelea? Wanaume msipofuta hii mentality vichwani mwenu basi wanawake tutaendelea kupata taabu sana kwenye ndoa yaani kitu ambacho maandiko yanakuamrisha ufanye yaani uoe mke mmoja na umpende mkeo wewe unaona kama huyo mkeo umemfanyia favour?Haswa, ukiolewa ujue umependelewa sasa sijui wasiwasi hutokea wapi tena.
Kwa kweliWe nakushauri tafta mume mzungu tu. Hawa wa kushinda mipirani na vijiweni kwenye pombe watakutesa kufungua mageti usiku.
Wanzinzi na waasherati hawatauona ufalme wa Mungu.
Unadhani hilo ni kwa sababu gani???All in all huwezi kupingana na mume wako mbele za watu huko ni kukosa adabu, hata kama amekosea ni lazima uonyeshe upo upande wake ili kutomvunjia heshima na kutovunja heshima ya ndoa yenu
Usifanye hivyo bablideNop, mimi sihukumu mwanamke kwa historia za nyuma ila tu zile incidence zilinifunza jinsi ya kujiweka kwenye uhusiano. Huwa sikai ki Ree tena sikuhizi na si kwa ubaya ila ni sababu naelewa M.O ya mwanamke.
I don't love blindly anymore, sitakupunja penzi ila sasa......
Muasherati ni mtu ambaye anasex wakati bado hajaoa au kuolewa .Tofauti ya muasherati na mzinzi
Hivi kinachowafanya muone kwamba kuoa mwanamke mmoja na kumpenda ni kumpendelea ni kitu gani? Kwani si ndicho Mungu alichoamrisha mfanye au? Anataka mwanaume ampende mkewe mwanamke amtii mumewe hiyo ni amri siyo ombi sasa nyie wanaume mnadhani kuwapenda wake zenu mmewapendelea tu ila nyie wake zenu kuwatii ni lazima haijalishi mume ana tabia ganiWala sio povu, we mpaka nimekuoa kuna wanawake wangapi nishagonga na kuwatema? We kuna madume wangapi washakupiga mkojo wakakuacha?
Am i stupid to present you to my family and witnesses kisha nikakuvika pete na nikakuzalisha watoto na kuanza kuishi na wewe nyumba moja. Does all that make no sense to you hata kidogo? Grinding all my life to make ends meet, msosi, kodi, ada, shopping n.k.
Unatakiwa ukue kihekima tu, then mambo yatakuwa smooth. No need to create stressing environment after all mume kuchepuka signifies mwanamke hafanyi part yake vyema.
Ukiwa na gubu ama controlling utachitiwa tu hamna namna. Too bad wanawake wa kibongo wengi mna hizo tabia af still mnamtafuta mchawi nani.
Kelele nyingi kubembeleza hujui ila uko too demanding kutaka mume awe available kila saa. K yenyewe unaitoa ilimradi romanticness "F" mtaendelea kupigwa magepu tu.
Wanawake understanding kama mtoa mada ndio wakogo romantic sana na wanapendeka haswa. Ni raha tu hata ukirudi home saa 10 full burudani.
Kabisaaa ila mimi siyo mlevi kwahiyo sijui ladha ya wineJf ni kama winemuda unavyoenda inazidi kuwa tamu hasa mada ikiwa bomba.
Mmhh kwahiyo unataka mimi niwe wa jf tu ila kwenye maisha halisi yupo?Hahah usiwaze negatively namna hio. Kumbuka hii ni jf halafu kuna maisha halisi. Hapa ni kama chuo tu![]()
Sasa hapo umezunguka ila point iko pale pale. "pesa"Hapana bwana hapo najua maslahi uliyomaanisha ni pesa ila kwangu mimi mapenzi siyo pesa mapenzi ni uaminifu tu sasa nikishapata mwanaume ambaye siyo muaminifu na mimi lazima nitarget pesa zake huku nikiwa standby kwa lolote ili hata nikiachwa nijue kuna kitu niliambulia kuliko kujifanya mtakatifu kupenda ambaye hana pesa kumbe yeye kwako ndo yupo kimaslahi zaidi
hahah hilo sishangai maana hata mimi nahela kama Mo Dewji ila tu sipendi show off jamvini~~~aliskika baharia mmoja toka jfKabisaaa ila mimi siyo mlevi kwahiyo sijui ladha ya wine
ifanye iwe inversely proportionalMmhh kwahiyo unataka mimi niwe wa jf tu ila kwenye maisha halisi yupo?
Hahahaha nina mifano mingi ya wanawake ambao wana mitazamo kama yangu wanaiapply kwenye ndoa na ndoa zao zina muda mrefu sasa ila mimi wanaume kama huyo nawachukulia ni aina ya wale ambao wanataka wake zao wawe wapumbavu siku zote za maisha yao yaani hata akiona mumewe anaingia na mwanamke chumbani wanajifungia akaambiwa "huyu ni dada yangu" yeye anakubali tuEdelyn huyu ni mdau wa tatu anakuzungumzia kuhusu namna unavyoonekana kutokana na yale unayoyaandika. Nakubaliana nae mimi, kwa mentality yako na reality juu yetu Sisi wanaume, nadhani maisha ya ndoa is not for you kabisa. Yatakushinda ndani ya muda mfupi sana.
Aina mang'am ng'am mamlai! Nidekeree kwa fasi ya chochole nikudakishe mchofongo niaxi...Usifanye hivyo bablide
Wanaume kitu ambacho hamuelewagi ni kitu kimoja nadhani mnashindwa kuelewa tofauti ya mke na mchepuko mke lazima achoke sababu ana majukumu mengi kuliko huyo mchepuko na mchepuko siku zote lazima akunyenyekee sababu kashaona hakuna mwanaume wa kumuoaHalafu sasa hayo masharti na mikelele yao, utarudi saa Saba mchana dakika 30 unataka upige moja fasta anakuletea story za tusubiri basi jioni, huoni sasa hivi joto hili wakati wewe migenye yako ishakupanda huko.
Ataanza kukuletea story za yeye is not in mood sijui nini, anategemeaje yaani kwa mfano?? Hapo wanaomuhangaisha ni watoto wake. Wakati kamchepuko kila saa upo job kanakuita na ukienda kanatamani kakusujudie.....
Eeee bhana being a man, a complete man ni ngumu sana ila hatuelewekagi, wanatuona hatuna mapenzi ya dhati.
Play your role, be a wife and not otherwise. Tena be a wife kwa mujibu wa bible au Qur an, achana na u-western utapata tabu bureeee
So what is your point here? That each man should have more than one woman?Me and you will not be there to witness that.
And the fact is, there are not enough men for every single woman! Kubali kataa