Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

basi tuishi nanyi kama michepuko tuone kama ndoa itakuwa tamu. Hapa ndipo napopata maana kwa nini vitabu vya dini vilisisitiza mume kuwa polygamous.
Hivi like seriously unaweza ukafananisha maisha ya kuishi kindoa na maisha ya kuchepuka ambayo mnakutana tu kupeana raha? Anzisha familia na huko kwa mchepuko afu uje utuambie kama utakuwa tofauti na mnavyoishi na mkeo. Heshimuni ndoa tafadhali
 
Huwezi kuishi maisha ya kifamilia kama ya kimchepuko. Kwa mchepuko unahitaji ngono tu; while maisha ya ndoa ni zaidi ya ngono; responsibilities za kutosha. Kumbuka maisha mliyoishi na mkeo as a girl friend; kulikuwa na majukumu kama mliyonayo sasa hivi? Usifananishe kukutana na mtu ukiwa na hamu naye, na kulalla na kuamka na mtu daily.
Mke mmoja tu anawashinda; hao wake wengi wa kupiga nao picha au?
basi tuishi nanyi kama michepuko tuone kama ndoa itakuwa tamu. Hapa ndipo napopata maana kwa nini vitabu vya dini vilisisitiza mume kuwa polygamous.
 
Huwezi kuishi maisha ya kifamilia kama ya kimchepuko. Kwa mchepuko unahitaji ngono tu; while maisha ya ndoa ni zaidi ya ngono; responsibilities za kutosha. Kumbuka maisha mliyoishi na mkeo as a girl friend; kulikuwa na majukumu kama mliyonayo sasa hivi? Usifananishe kukutana na mtu ukiwa na hamu naye, na kulalla na kuamka na mtu daily.
Mke mmoja tu anawashinda; hao wake wengi wa kupiga nao picha au?
mkiwa na wake wenza mnajituma zaidi na inaleta balance kwenye huduma. Sasa kwa kuwa hilo officially mnalipinga tutatumia mkato
 
aiseee
Yani umepita mule mule...af wanatafta mchawi. Hivi michepuko wao mbona hawanaga ratiba yani kama ni gari switch ya push to start. Hata uende saa 4 asubuhi unapewa huduma bila zengwe ila mke mpaka unyonye pipe za mafuta uminye fuel pump au umsukumie kwenye gear namba 3!

Yani kama ni net mke ni sawa na kupewa bundle la 100GB halafu upewe limit ya MB100 kwa siku wakati mchepuko unatumia unavyotaka hata ukitaka utumie 6GB kila siku.
 
Hahahah, Dunia hadaa ndugu zangu, Moyo wa hivo sinaaa kabisaaa, mimi tabia yangu ni uwazi sanaaa hasa kwa mtu naempendaaa na yanatukosti sanaa,

Yaani mimi niwe wazi hadi mawasiliano yangu kwako, yako ukaongelee chumbani??

My future wife, plss usifanye huo ujinga mbele yangu, wawili hawatakua wawili tena, bali ni mwili mmoja.
 
Hayo maneno kama kweli vile unavyoongea,,,usitafute balaa Dada hujasiri huo huna
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
 
Kwa kutanguliza maslahi bila hekima apo lazma mchanganye mafaili.
Hapana bwana hapo najua maslahi uliyomaanisha ni pesa ila kwangu mimi mapenzi siyo pesa mapenzi ni uaminifu tu sasa nikishapata mwanaume ambaye siyo muaminifu na mimi lazima nitarget pesa zake huku nikiwa standby kwa lolote ili hata nikiachwa nijue kuna kitu niliambulia kuliko kujifanya mtakatifu kupenda ambaye hana pesa kumbe yeye kwako ndo yupo kimaslahi zaidi
 
Mkuu naomba nikutukane tuu ili roho yangu iridhike

PUMBAVU


Unayoyaongea yamenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaali sana

Nilihukumiwa jera nikiacha watoto sita na mke mmoja,
Nilikuja kutoka baada ya miaka kadhaa, nilimaliza kifungu chango

Nakuta watoto wanne walishaenda kwa baba zao, waliobaki wawili niliwakuta kwa dada yangu

Mke wangu yuko kwa mmoja wa baba wenzangu.


Nimeandika havieleweki, kwani nimekumbuka mbaaaaaaali sana.

Ngoja nikanywe kwanza, nadhani leo ushaniharibia siku
Hii ni kwa niaba ya wanaume kama nyie sasa mnaojiona mna akili kuzidi wanawake linapokuja kwenye swala la mapenzi
 
Now you're talking, hiki kitu kinawashinda wanawake wengi sana halafu wanaanza kumtafuta mchawi ni nani.

Kila nikiwaza naporudi home nitakutana na arguments za kijinga jinga kama kwanini nimevalia viatu juu ya zulia ndipo napotafuta sababu ya kukaa nje hadi nimkute bibie kalala maana kelele huwa sizipendi hasa nikiwa nimechoka.

Tufanyieni Amani nyumbani tutawahi kurudi na upendo kuongezeka maradufu jamani.
Sasa kuvua viatu juu ya zulia jamani kwani ni ajabu, huyo atakua na pepo sio buree
 
Back
Top Bottom