Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
Play your role, be a wife and not otherwise. Tena be a wife kwa mujibu wa bible au Qur an, achana na u-western utapata tabu bureeee
Nafikiri angalau wanawake wengi wanaishi kwa misingi ya Bible au Quran; lakini ukija kwa wanaume wao hawataki kuishi kwa misingi ya dini. Mfano kwenye Biblia; tunaona Yesu alivyoivalue ndoa hadi akaifananisha sawa na uhusiano wake na kanisa; sema tu ukweli ni wanaume wangapi wanaoishi na kuwatreat wako zao kama Kristo na kanisa? It's all about women; do this and that blah blah; wanaume ni wafalme wafanye tu watakavyojisikia
