Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,152
- 190,688
Im indefinite kind of guy!aise
Im indefinite kind of guy!aise
Hivi kweli kabisa unafananisha mke na mchepuko? Hebu kuwa serious mke na mchepuko wanachofanana ni jinsia tu ila vinginevyo usirudie kufananisha mke na mchepukoYani umepita mule mule...af wanatafta mchawi. Hivi michepuko wao mbona hawanaga ratiba yani kama ni gari switch ya push to start. Hata uende saa 4 asubuhi unapewa huduma bila zengwe ila mke mpaka unyonye pipe za mafuta uminye fuel pump au umsukumie kwenye gear namba 3!
Yani kama ni net mke ni sawa na kupewa bundle la 100GB halafu upewe limit ya MB100 kwa sikuwakati mchepuko unatumia unavyotaka hata ukitaka utumie 6GB kila siku.
SawaHahahaha nina mifano mingi ya wanawake ambao wana mitazamo kama yangu wanaiapply kwenye ndoa na ndoa zao zina muda mrefu sasa ila mimi wanaume kama huyo nawachukulia ni aina ya wale ambao wanataka wake zao wawe wapumbavu siku zote za maisha yao yaani hata akiona mumewe anaingia na mwanamke chumbani wanajifungia akaambiwa "huyu ni dada yangu" yeye anakubali tu
Aisee yaani kuolewa na baadhi ya wanaume wa kiafrica inahitaji ukubali kuwa mnafiki maisha yako yote yaani ukubali vitu kishingo upande maana mnayotaka tuyafanye hayawezekani kwa binadamu wa kawaida na unafiki nao ni dhambi yaani mnataka wake zenu wafuate maandiko wakati nyie wenyewe hayo maandiko yamewashinda
Usicheke hio ni based on a true story, huo ni mfano tu. Sasa leo ngoja nikanyage tiles na tope nione itakuwaje😁😁😁Sasa kuvua viatu juu ya zulia jamani kwani ni ajabu, huyo atakua na pepo sio buree![]()
OkWanaume kitu ambacho hamuelewagi ni kitu kimoja nadhani mnashindwa kuelewa tofauti ya mke na mchepuko mke lazima achoke sababu ana majukumu mengi kuliko huyo mchepuko na mchepuko siku zote lazima akunyenyekee sababu kashaona hakuna mwanaume wa kumuoa
Kwahiyo bora abaki na mume wa mtu ashikilie hapo hapo na mnatakiwa muelewe kuwa huyo mchepuko anafanya hivyo kwa sababu ya nafasi yake na siyo kwa sababu ya tabia yake hata yeye akija kuolewa atafanya hayo hayo unayolalamika kuwa mkeo anafanya kwa mumewe
Na hata mkeo angekuwa ndo mchepuko angefanya hayo hayo ambayo unayasifia mchepuko wako anafanya ila nyie kwa sababu ya tamaa zenu hamuoni hilo halafu kuhusu kufuata maandiko hivi wanaume mmeambiwa msifuate maandiko?
Mbona nyie hamyafuati kutwa kulazimisha wanawake ndo wayafuate? Hebu fuateni maandiko bwana acheni kusema kuwa tunashindana na nyie wote mume na mke wakifuata maandiko mbona hakuna atakayepigizana kelele na mtu ila tatizo wanaume kufuata maandiko hamtaki
Mnaona ni sawa kuwa polygamous kwa sababu you are too demanding yaani mahitaji yenu mliyojitengenezea yamezidi hata yale ambayo Mungu aliwaumba nayobasi tuishi nanyi kama michepuko tuone kama ndoa itakuwa tamu. Hapa ndipo napopata maana kwa nini vitabu vya dini vilisisitiza mume kuwa polygamous.
Maandiko yamekataza lakini halafu kumbuka King Solomon siyo Mungu maana najua hapa utaniletea habari za King Solomonmkiwa na wake wenza mnajituma zaidi na inaleta balance kwenye huduma. Sasa kwa kuwa hilo officially mnalipinga tutatumia mkato
Ah wapi, mahitaji ni yale ysle good food, sex and peace of mind. Ukiyaweza hayo ntakupenda hadi kifo kitutenganishe. Zingatia utoe mzigo na masham sham yote kila muda naotaka bila masimango maana hapo mchepuko ndio anapokupigeni bao.Mnaona ni sawa kuwa polygamous kwa sababu you are too demanding yaani mahitaji yenu mliyojitengenezea yamezidi hata yale ambayo Mungu aliwaumba nayo
Ndiyo pesa kwa sababu kwa sasa "hakuna mwanaume mwaminifu duniani" ukinipotezea muda wangu mimi nakupotezea pesa zakoSasa hapo umezunguka ila point iko pale pale. "pesa"
Anha kwahiyo haujaniamini eti? Kumbe mimi naonekana mlevi siyo? Duuh haya bwana sikushikii fimbo uniaminihahah hilo sishangai maana hata mimi nahela kama Mo Dewji ila tu sipendi show off jamvini~~~aliskika baharia mmoja toka jf
Huko kutakuwa ni kujipa moyo yaani ni sawasawa na paka aseme kuwa yeye ni chui wakati hicho ni kitu ambacho hakitakaa kuja kutokea hata dunia iumbwe tenaifanye iwe inversely proportional
thread closedNdiyo pesa kwa sababu kwa sasa "hakuna mwanaume mwaminifu duniani" ukinipotezea muda wangu mimi nakupotezea pesa zako
Aina mang'am ng'am mamlai! Nidekeree kwa fasi ya chocho nikudakishe mchofongo niaxi...



au siyoHayo ni maneno yako tu sijatamka kitu. Ila kuna ambao walijinadi hawapendi sex humu ila uzi flani ulipopandishwa 80% ya wachangiaji wale wale walijiongeza.Anha kwahiyo haujaniamini eti? Kumbe mimi naonekana mlevi siyo? Duuh haya bwana sikushikii fimbo uniamini
Kweli Kwa akili hizi zote niache kupenda wamama walionizidi umri hata awe single mother daaah raha sana mpaka namuonea uwivu anaekufaidi 6*6Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
au siyo
Waambie hao waelewe, wamesahau huyo mke kabla hajaolewa alikuwa vizuri kila muda alikuwa anatoa service kama huyo mchepuko mpaka akaamua aoe aweke ndani. Hivyo hata mchepuko nae akiolewa akawekwa ndani atakuwa hvyo hvyo tu.Wanaume kitu ambacho hamuelewagi ni kitu kimoja nadhani mnashindwa kuelewa tofauti ya mke na mchepuko mke lazima achoke sababu ana majukumu mengi kuliko huyo mchepuko na mchepuko siku zote lazima akunyenyekee sababu kashaona hakuna mwanaume wa kumuoa
Kwahiyo bora abaki na mume wa mtu ashikilie hapo hapo na mnatakiwa muelewe kuwa huyo mchepuko anafanya hivyo kwa sababu ya nafasi yake na siyo kwa sababu ya tabia yake hata yeye akija kuolewa atafanya hayo hayo unayolalamika kuwa mkeo anafanya kwa mumewe
Na hata mkeo angekuwa ndo mchepuko angefanya hayo hayo ambayo unayasifia mchepuko wako anafanya ila nyie kwa sababu ya tamaa zenu hamuoni hilo halafu kuhusu kufuata maandiko hivi wanaume mmeambiwa msifuate maandiko?
Mbona nyie hamyafuati kutwa kulazimisha wanawake ndo wayafuate? Hebu fuateni maandiko bwana acheni kusema kuwa tunashindana na nyie wote mume na mke wakifuata maandiko mbona hakuna atakayepigizana kelele na mtu ila tatizo wanaume kufuata maandiko hamtaki
Achaga kuwaza manegativu mamalai. Ukiwa na mndewa hainaga kinyulaah mambo inaenda ikinyooka ka uziHuko kutakuwa ni kujipa moyo yaani ni sawasawa na paka aseme kuwa yeye ni chui wakati hicho ni kitu ambacho hakitakaa kuja kutokea hata dunia iumbwe tena
Maishaaa, kwahio basi tatizo ni kuoa kumbe. Wacha wajuba tuendelee kula bila kuoa basi ili mambo iwe mzukaWaambie hao waelewe, wamesahau huyo mke kabla hujaolewa alikuwa vizuri kila muda alikuwa anatoa servece kama huyo mchepuko mpaka akaamua aoe aweke ndani. Hivyo hata mchepuko nae akiolewa akawekwa ndani atakuwa hvyo hvyo tu.
Sasa mwanamke hawezi akafanya mapenzi kila siku kama mwanaume na pia hawezi kupitisha wiki nzima mfululizo hajakupa akizidi sana ni siku tano ambazo atakuwa kwenye hedhi na hata hivyo kwenye hizo siku mnaweza kuvumilia na Mungu aliona ya kuwa mnaweza kuvumilia ndo maana akawaambia muwe na mke mmoja tuAh wapi, mahitaji ni yale ysle good food, sex and peace of mind. Ukiyaweza hayo ntakupenda hadi kifo kitutenganishe. Zingatia utoe mzigo na masham sham yote kila muda naotaka bila masimango maana hapo mchepuko ndio anapokupigeni bao.