Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Unapaswa kuwa rafiki yangu,marafiki huwambiana ukweli.."oya jana umenikwaza kinoma jamaa yangu,hivi simu za usiku usiku vile si kudharauliana best?",mi siwez kasirika ukiniambia hivyo na nitajisikia vibaya. SaSA ukikaa kimya si hata nikikuzingua kitandani utashindwa kuniambia?au nitashindwa hata kukutania ulivyoharibu sura wakati "nakusulubu"?.we ni rafiki yangu sana,ILA USINIFOKEE TAFADHALI.NTAPABADILI HOME PAWE PA KUJA KULALA TU
Good
 
By "kuwa mke wangu" sikumaanisha awe mama wa nyumbani.kama ni elimu au biashara akitaka hata mimi nitamsaidia afikie ndoto na malengo yake.kuolewa na mimi sio kaburi la ndoto zake.Ila kimsingi ilimaanisha aweze kuassume majukumu yake na atambue nafasi yake kama mke wangu na mimi nitakua mume kwake.elimu nyake,kazi yake,cheo na nafasi yake kwenye jamii aviweke getini kwa nyumba yangu anaporudi jioni...AWE MKE WANGU.
Sasa mwanamke aliyesoma na anayetafuta pesa si lazima tu atakusaidia majukumu yako ya kuhudumia familia sasa kwanini wewe ushindwe kumsaidia?
 
Sasa mwanamke aliyesoma na anayetafuta pesa si lazima tu atakusaidia majukumu yako ya kuhudumia familia sasa kwanini wewe ushindwe kumsaidia?
Atasaidia akitaka.mimi ni majukumu yangu na nitafanya kwa kadri ya uwezo wangu(so help me God).Ila akifanya lolote isiwe eti ndo sababu ya kutaka upuuz wa "haki sawa".siamini kwenye huo ujinga.kuwa mke kwangu,nitakua mume kwako,fullstop
 
Oohh basi hakikisha kwamba hafanyi majukumu mengi zaidi yako maana wewe ndo mkuu na yeye ndo msaidizi sasa kumbuka siku zote mkuu ndo anayekuwa na majukumu mengi kuliko msaidizi hata rais ndo mwenye majukumu mengi kuliko makamu wa rais
Atasaidia akitaka.mimi ni majukumu yangu na nitafanya kwa kadri ya uwezo wangu(so help me God).Ila akifanya lolote isiwe eti ndo sababu ya kutaka upuuz wa "haki sawa".siamini kwenye huo ujinga.kuwa mke kwangu,nitakua mume kwako,fullstop
 
Mwanamke huwa hasomi

Mwanamke ahata afike wapi uwezo wake huishia kusoma na kuandika tuu
Sasa kwa mtazao wako huo unafaa uoe mwanamke ambaye hajasoma na wala hana mpango wa kujiendeleza kimaisha siyo unasema hivyo halafu unaona mwanamke aliyesoma na ana mpango wa kujiendeleza kimaisha halafu unategemea akae nyumbani kama mama wa nyumbani huo utakuwa uongo na utakuwa unamtia majaribuni tu mtoto wa watu
 
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Utadumu kwenye ndoa madam 🤛
 
Hpo umenena wazi dada
 
Back
Top Bottom