Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,152
- 190,689
Wala sio povu, we mpaka nimekuoa kuna wanawake wangapi nishagonga na kuwatema? We kuna madume wangapi washakupiga mkojo wakakuacha?Hahahaha hili povu,Maswali lazima yaulizwe indapo nitaona dalili tofauti kama hutaki kuulizwa maswali tafuta mwanamke bubu asiyekuwa na uwezo wa kuzungumza
Am i stupid to present you to my family and witnesses kisha nikakuvika pete na nikakuzalisha watoto na kuanza kuishi na wewe nyumba moja. Does all that make no sense to you hata kidogo? Grinding all my life to make ends meet, msosi, kodi, ada, shopping n.k.
Unatakiwa ukue kihekima tu, then mambo yatakuwa smooth. No need to create stressing environment after all mume kuchepuka signifies mwanamke hafanyi part yake vyema.
Ukiwa na gubu ama controlling utachitiwa tu hamna namna. Too bad wanawake wa kibongo wengi mna hizo tabia af still mnamtafuta mchawi nani.
Kelele nyingi kubembeleza hujui ila uko too demanding kutaka mume awe available kila saa. K yenyewe unaitoa ilimradi romanticness "F" mtaendelea kupigwa magepu tu.
Wanawake understanding kama mtoa mada ndio wakogo romantic sana na wanapendeka haswa. Ni raha tu hata ukirudi home saa 10 full burudani.


