Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Hakika wanawake wote wa jf wangekuwa na mawazo mazuri km wewe Leo hii jf ingekuwa mbali sana. Nampa heko sana mumeo hakika alibahatisha wife material wa ukweli
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
 
Nice.be loyal with men's characters it's natural my dear Edelyn
Oh really?? I thought ni wanawake tu ndo wanatakiwa kuwa 'loyal' with men's characters mbona wapo hadi wanaume ambao wako 'loyal' with women's characters? Oops I forgot Karma is real.
 
Umjulie kivipi?? Mwanaume anataka pussy tu mengine ziada tu,una uhakika unaweza kumpa pussy kama anavyotaka???
Ninaweza nisimpe hiyo pussy kama anavyotaka na bado nikamjulia vile vile nimekwambia been there done that so I am speaking from personal experience halafu naomba nikurekebishe wewe siyo wanaume wote
 
Unanichekesha!!! Vitu gani uvijue kwa mwanaume,au umjue kwamba anachepuka au hachepuki???
Mbona unakazania kuchepuka? Binafsi mimi mwanaume nikishamjulia hata akichepuka najua mbinu za kumfanya ajute na aache kuchepuka bila kutumia nguvu bali kwa kutumia akili tu na ndo maana mkaambiwa muishi na sisi kwa akili ila ndo bado hamjajua maana ya hiyo sentensi
 
Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?

Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
Nukuu "ila sio hawa wanaume wa kiafrica" wewe unataka wa wapi
 
Mmhh uko hivyo kweli?
True dat sikufichi nina huruma sijui ni huu upole and understanding nature ila nikikubadilikia utajuta. Ni zaidi ya mbogo kama ukionesha kujisahau kimaadili kwa makusudi.
 
Uzoefu unaonesha wanawake wengine kama mleta mada unakuta wana michepuko ya kudumu

Kwa hiyo penzi kwa mume wa ndoa linakuwa limeshakata kabisa!

Yani kuna wanawake wengine anakuwa na mchepuko ambae anamthamini kuliko mume alieko ndani!

Mwanamke mfano anaendesha gari ikigongwa wa kwanza kumwambia ni mchepuko

Yani nimewaona watu wa hivyo ofisini.

Na hata kwenye mazungumzo wanakuwa na mtazamo kama wa mleta mada !
kwamba mtoa mada kashaingia kwenye ganzi mode ya kimahaba juu ya mumewe?!
 
Nataka wa kiafrica ila ndo haiwezekani sababu wanaume wa kiafrica wanapenda na wanalazimisha mteremko kwenye mapenzi
We nakushauri tafta mume mzungu tu. Hawa wa kushinda mipirani na vijiweni kwenye pombe watakutesa kufungua mageti usiku.
 
Inategemea unamtreat vipi mume, wanawake wengine jamani wamefanya wanaume wanapaona nyumbani pachungu...badala ya kumlinda na kuchunga sim zake pafanye nyumbani pawe mahali pa furaha kiasi kwamba hata yeye mwenyewe akiwa nje ya nyumbani anapamis anarudi mapemaaaa....sio kuanza kumcintrol na kuchunga simu yake wakati nyumba ni penyewe panawaka motoo...lugha nzuri, upendo wa dhati, furaha wakati wote sio mume amerudi we umenuna tu halafu jnataka awahi kurudii

Wanawake tumieni mbinu kuwafanya waume zenu wapende kuwahi kurudi nyumbani am telling you hatakaa achelewe

Now you're talking, hiki kitu kinawashinda wanawake wengi sana halafu wanaanza kumtafuta mchawi ni nani.

Kila nikiwaza naporudi home nitakutana na arguments za kijinga jinga kama kwanini nimevalia viatu juu ya zulia ndipo napotafuta sababu ya kukaa nje hadi nimkute bibie kalala maana kelele huwa sizipendi hasa nikiwa nimechoka.

Tufanyieni Amani nyumbani tutawahi kurudi na upendo kuongezeka maradufu jamani.
 
Ishu sio kutokumfuatilia, upo huru kumfuatilia ila usimkoseshe amani kwa wivu wako wa kipuuzi. Fuatilia kimya kimya na usiulize maswali ya kingese màana umejipa u FBI kwa hiari.
Hahahaha hili povu,Maswali lazima yaulizwe indapo nitaona dalili tofauti kama hutaki kuulizwa maswali tafuta mwanamke bubu asiyekuwa na uwezo wa kuzungumza
 
Sasa tatizo linakuja hapo pa kuhukumu wanawake wote kwa sababu ya makosa ya baadhi ya wanawake hivi na sisi tungesema tuwahukumu wanaume wote kwa sababu ya makosa ya baadhi ya wanaume kungekuwa na mapenzi kweli dunia hii?

Kila mtu si angepambana na hali yake tu sema sisi tunawahukumu wote kuwa mnapenda kuchepuka sababu nyie ndo mliotuaminisha kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka duniani wote mnachepuka

Ila nyie mnajua kabisa kuwa wanawake wasiochepuka wapo wengi sana sasa unatendwa huko na mwanamke mmoja muhuni halafu unakuja kumalizia hasira kwa mwanamke mwingine asiye na hatia na mwenye mapenzi ya kweli kwako

No things don't go like that mimi siyachukulii mapenzi kirahisi tena katika watu wanaochukulia mapenzi kuwa ni kitu complicated basi mimi nahisi ndo naongoza yaani I always see negativity in almost everything found in love yaani mimi mwanaume akinitongoza hadi nimkubalie nitamuuliza maswali hayo utasema namfanyia vetting na kutokana na majibu yake ndo nitaamua nikubali au nikatae sasa hapa usianze tena kusema sijui mwanamke hatakiwi kuchagua mwanaume ofcourse I also have a choice of selection even though I am a woman hata maombi ya kazi yanapopelekwa kampuni lazima ichague the best candidates
Nop, mimi sihukumu mwanamke kwa historia za nyuma ila tu zile incidence zilinifunza jinsi ya kujiweka kwenye uhusiano. Huwa sikai ki Ree tena sikuhizi na si kwa ubaya ila ni sababu naelewa M.O ya mwanamke.
I don't love blindly anymore, sitakupunja penzi ila sasa......
 
Watu wawili wakiamua kuishi pamoja kama wanandoa wanaishi kwa nani ndoa siyo vita. Kukiwa na issue mnaiongelea chumbani hata watoto wasiwasikie. Maongezi yakiisha maisha yanaendelelea.
 
Kuna kijana mmoja nilikua namwambia kumpa mpenzi wako simu yako aikague anavyojisikia wala sio mapenzi ni utoto. Eti gf wake akikuta namba ya mwanamke anaipiga anamchimba biti.
Shida zote za nini hizo kuanza kutafuta mabaya mkosane bure
 
Back
Top Bottom