Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Kwahiyo kaposa chenu tuu ndicho kanawafanya muwe wakatili hivyo?Muwe mnapeleka posa basi muoe mtaupata huo ukatili
Kwahiyo kaposa chenu tuu ndicho kanawafanya muwe wakatili hivyo?Muwe mnapeleka posa basi muoe mtaupata huo ukatili
Hahahahhahahaahayaani napitia comments zako kusoma nacheka we una wivu mno![]()
Wanzinzi na waasherati hawatauona ufalme wa Mungu.Hujui kwamba sisi ni wadhaifu. Na pia tunataman??? Mnatakiwa mvumilie na muache kufatilia fatilia mtakufa siku kabla ya zenu
Wanzinzi na waasherati hawatauona ufalme wa Mungu.
Wanzinzi na waasherati hawatauona ufalme wa Mungu.
No my friend I am not controlling and I wouldn't want to be like that mimi nadhani haujanielewa tu au labda nikuulize hili swali ina maana unataka kusema kwamba mke akifanya makosa mume wake apaswa amuadhibu ila mume akifanya makosa mke hatakiwi kuongea chochote akae tu kimya? Hebu nijibu kwanza hapo
Ndiyo, sadaka itume kwenye ile ile namba niliyokutumia ile siku!Na je sadaka nikutumie kwenye ile namba yako ya Vodacom
sasa si bora hivyo wengine na simu inapokonywa akiskika demu kwenye line. Au unaambiwa weka loudHakika, maana ukiongea pale pale utaskia "umenificha umalaya wakoooo weeee Leo kwa jinsi ulivyonichoka umeamua kunidhihirishia"
Hawana jema hawa kina zeshchriss na Khantwe
Wanzinzi na waasherati hawatauona ufalme wa Mungu.
sasa si bora hivyo wengine na simu inapokonywa akiskika demu kwenye line. Au unaambiwa weka loud


nikikwambia weka utaweka?Hivi kweli kwenye ndoa kuna vitu vingine vya kufichana zaidi ya michepuko? Basi nasikitika kusema kuwa hatujui nini maana ya ndoa na nini maana ya kuwa mwili mmoja
😂😂😂😂😂 labda itokee tunikikwambia weka utaweka?
😁😁😁😁😁 mabahariaunamcheki nani sasa
Mimi ndiyo unanijibu hivi?Toba imewekwa kwa watu kama sisi.
Wewe uanze kusamehe kwanza.
Huko kwenye kuzozana ni nyie wenyewe ndo mnataka tufike kwa sababu hamtaki kuambiwa ukweliKwani unadhani mimi sikuelewi?? Nakuelewa vizuri tu ila kuna namna flani nashindwa kuanza kuzozana nawe
Hawezi kukujibu hivyo weweMimi ndiyo unanijibu hivi?
Kwamba utazini kwa sababu kuna toba?

(in someone's voice)
labda itokee tu
Wewe mwache anijibu anavyotaka.Hawezi kukujibu hivyo wewe(in someone's voice)


