Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Ndiyo mimi sipendi pombe wala ngonoHayo ni maneno yako tu sijatamka kitu. Ila kuna ambao walijinadi hawapendi sex humu ila uzi flani ulipopandishwa 80% ya wachangiaji wale wale walijiongeza.
Ndiyo mimi sipendi pombe wala ngonoHayo ni maneno yako tu sijatamka kitu. Ila kuna ambao walijinadi hawapendi sex humu ila uzi flani ulipopandishwa 80% ya wachangiaji wale wale walijiongeza.
Tatizo usipooa ndo unaendelea kufanya dhambi sasa na ukipata watoto bila ndoa ndo kabisa yaani nyie ndo mnazidi kuongeza vizazi vya wanaharamu mjueMaishaaa, kwahio basi tatizo ni kuoa kumbe. Wacha wajuba tuendelee kula bila kuoa basi ili mambo iwe mzuka
Umesema kweli Edelyn ila kuna wanawake wana mtazamo huu pia i.e wanawalinganisha waume/wapenzi wao na michepuko.Wanaume kitu ambacho hamuelewagi ni kitu kimoja nadhani mnashindwa kuelewa tofauti ya mke na mchepuko mke lazima achoke sababu ana majukumu mengi kuliko huyo mchepuko na mchepuko siku zote lazima akunyenyekee sababu kashaona hakuna mwanaume wa kumuoa
Kwahiyo bora abaki na mume wa mtu ashikilie hapo hapo na mnatakiwa muelewe kuwa huyo mchepuko anafanya hivyo kwa sababu ya nafasi yake na siyo kwa sababu ya tabia yake hata yeye akija kuolewa atafanya hayo hayo unayolalamika kuwa mkeo anafanya kwa mumewe
Na hata mkeo angekuwa ndo mchepuko angefanya hayo hayo ambayo unayasifia mchepuko wako anafanya ila nyie kwa sababu ya tamaa zenu hamuoni hilo halafu kuhusu kufuata maandiko hivi wanaume mmeambiwa msifuate maandiko?
Mbona nyie hamyafuati kutwa kulazimisha wanawake ndo wayafuate? Hebu fuateni maandiko bwana acheni kusema kuwa tunashindana na nyie wote mume na mke wakifuata maandiko mbona hakuna atakayepigizana kelele na mtu ila tatizo wanaume kufuata maandiko hamtaki
Wapo wanaume waaminifu.Ndiyo pesa kwa sababu kwa sasa "hakuna mwanaume mwaminifu duniani" ukinipotezea muda wangu mimi nakupotezea pesa zako
Mungu ametuumba na yapi na sisi tukajiongezea yapi??Mnaona ni sawa kuwa polygamous kwa sababu you are too demanding yaani mahitaji yenu mliyojitengenezea yamezidi hata yale ambayo Mungu aliwaumba nayo
Mimi ni muaminifu sana tu na siwezi kuwa na wanaume zaidi ya mmoja kwa sababu siendekezi ngonoWapo wanaume waaminifu.
Wewe ni mwaminifu mkuu?
Mungu amewaumba na uwezo wa kuvumilia kutofanya tendo la ndoa hata mwaka mzima hata kama mmeoa ila nyie mnataka mfanye kila siku bila kujali hali ya mke kwa vile mmeoaMungu ametuumba na yapi na sisi tukajiongezea yapi??
Vivyo hivyo kuna wanaume waaminifu.Mimi ni muaminifu sana tu na siwezi kuwa na wanaume zaidi ya mmoja kwa sababu siendekezi ngono
Mabara ni sita,Kwani duniani kuna mabara mangapi?
Hali gani hizo?Mungu amewaumba na uwezo wa kuvumilia kutofanya tendo la ndoa hata mwaka mzima hata kama mmeoa ila nyie mnataka mfanye kila siku bila kujali hali ya mke kwa vile mmeoa
Wanaume wote wanajua kuwa wanawake waaminifu wapo ila wanasemaga tu hivyo ili kujihami ila wanawake tunajua kuwa hakuna mwanaume muaminifu wote malaya tuVivyo hivyo kuna wanaume waaminifu.
Na ninadhani umeshawahi kusikia wanaume wanaosema kuwa hamna wanawake waaminifu licha ya kuwa unajiamini ni muanifu...So usigeneralize...
Haya dada, kama umeamua kuamini hivyo.Wanaume wote wanajua kuwa wanawake waaminifu wapo ila wanasemaga tu hivyo ili kujihami ila wanawake tunajua kuwa hakuna mwanaume muaminifu wote malaya tu
Mmhh mimi nadhani haujanielewa niliposema wanaume wa kiafrica mnapenda mteremko kwenye mapenzi nimemaanisha hamtaki kuukubali ukweli kuwa mapenzi ni pande mbili yaani kutoa na kupokea ila sasa ninyi mnataka wanawake tu ndo tutoe halafu wanaume ndo mpokee mfano mnataka kila siku wanawake ndo tuwapende tuwaheshimu tuwasamehe tuwavumilie tuwafurahishe na tusiwasilitiMabara ni sita,
Na kuna wanaume wa kilatino
Wanaume wa amerika ya kusini na kaskazini,kuna wanaume wa kichina,wapo vilele waarabutu n.k....
Wanaumeambao wanaume ambao hawana mtereko kwenye mahusiano ni WAAFRIKA kwasababu wanawake wetu hawana mtereko kwny mahusiano,kwanza ana limite ya kutembea,kukupgia simu,kuja nyumban kwako,kununualia zawadi,,,,na anapokununulia mfano zawadi au kuja kwako au kutembea na wewe yeye uwa anahesabau,kwaiyo hali hyo inatufanya tusewe na mteremko kwenye mahusiano licha tunataman,kwaiyo sisi tunaishia kutamani tu..
Ila wanaume ambao wanapnda mteremko na wana mambo ya mteremko ni kama vile mfano:rangi nyeupe,ukimtongoza leo kesho nyumbana hana limite ya kuja nyumbani,kukupigia simu,kukununulia zawadi,ukiwa nae uwez taman kuoa maana kila itaj utapata.na ni hasili yako,,kwaiyo mwanaume wa ngoz nyeupe akikutana na mwanamke wa ngoz nyeus ataona ni usumbufu maana amezoea akikutongoza leo na siku hyo utembee nae au kila muda huwe nae,ana mapenz yao ya kijnga sana mwanamke ambae ana ule hutamadumu wa africa awez kuwa nae na awez kufanya mapnz na ngoz nyeusi coz wana sex ya ajabu sana
Kwaiyo hapo waafrica naonaga ndo bora kwasababu hatuna sex za kijnga na hatuna harakat lcha saiv tunataman,
Nani kakwambia mataifa/mabara mengine wapo hivyo?Mmhh mimi nadhani haujanielewa niliposema wanaume wa kiafrica mnapenda mteremko kwenye mapenzi nimemaanisha hamtaki kuukubali ukweli kuwa mapenzi ni pande mbili yaani kutoa na kupokea ila sasa ninyi mnataka wanawake tu ndo tutoe halafu wanaume ndo mpokee mfano mnataka kila siku wanawake ndo tuwapende tuwaheshimu tuwasamehe tuwavumilie tuwafurahishe na tusiwasiliti
Ila ninyi hamtaki kutupenda kutuheshimu kutusamehe kutuvumilia kutufurahisha na kutokutusaliti tofauti na watu wa mabara mengine ambao wanaamini kuwa mapenzi ni kupendana kuheshimiana kusameheana kuvumiliana kufurahishana na kutokusalitiana na siyo eti mwanamke tu ndo amfanyie hayo mwanaume
Ila hata maandiko ya biblia imeandikwa mwanamke ni msaidz kwa mwanume,..alafu utamaduni wetu unafanya nyinyi hali iwe hvyo,kumbuka hata hayo mabara mengn yako hvyo,lakn ni sheria tu ndo inatumika na ndo iliweka usawa huo,ila sio kwamba na wao wanataka hapanaMmhh mimi nadhani haujanielewa niliposema wanaume wa kiafrica mnapenda mteremko kwenye mapenzi nimemaanisha hamtaki kuukubali ukweli kuwa mapenzi ni pande mbili yaani kutoa na kupokea ila sasa ninyi mnataka wanawake tu ndo tutoe halafu wanaume ndo mpokee mfano mnataka kila siku wanawake ndo tuwapende tuwaheshimu tuwasamehe tuwavumilie tuwafurahishe na tusiwasiliti
Ila ninyi hamtaki kutupenda kutuheshimu kutusamehe kutuvumilia kutufurahisha na kutokutusaliti tofauti na watu wa mabara mengine ambao wanaamini kuwa mapenzi ni kupendana kuheshimiana kusameheana kuvumiliana kufurahishana na kutokusalitiana na siyo eti mwanamke tu ndo amfanyie hayo mwanaume
Hapana sidhani kama kuna mwanamke anayemnyima mumewe tendo la ndoa kwa makusudi bila sababu ukiona mwanamke anamnyima mumewe tendo la ndoa na hayupo kwenye siku zake au haumwi basi ujue kuna sababu nyingine tofauti na hizo hivyo kaa chini uongee naye shida ni nini lakini mimi kwa mifano niliyokuwa nayo mara nyingi sababu inakuwaga ni majukumu tangu huu mfumo wa haki sawa ushike kasi kuna wanaume wameanza kukimbia majukumu yao kwa kiasi fulaniHali gani hizo?
Simba ikicheza tunavumilia, wakijifungua tunavumilia.Sijui unamaanisha hali gani.Mungu alitupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwasababu alijua tutalihitaji sawasawa na uwezo alioutupa.
Ni kweli kuna mambo ya kuzingatia kama mwenzako ni mgonjwa au siku yake ilikua na mambo mengi akachoka n.k
Ubaya ni kwamba wengi wenu mmejiwekea kichwani kwamba hamtakua mkifanya kila siku hivyo kama mlifanya jana kutoa leo mnaona mnateswa.Sio sahihi.
Mimi siamini hivyo ila wanaume ndiyo mnatulazimisha tuamini hivyo kwani haujasoma posts za wanaume wenzio huko juu?Haya dada, kama umeamua kuamini hivyo.
Kumbe wanaume wengi mnashindwa kuelewa hapa hivi nyie mnaelewa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke iko wapi? Tofauti ipo kwenye jinsia, maumbile, tabia na majukumu ila siyo mapenzi kwenye mapenzi ni lazima kila mmoja ahakikishe anamfanya mwenzie awe na furahaNani kakwambia mataifa/mabara mengine wapo hivyo?
Kamwe mwanaume hatakuja kulingana na mwanamke, hivyo ndivyo tulivyoumbwa na bahati mbaya/nzuri hatuwezi kujibadilisha.Hauna budi kukubali hilo.
Mke amtii mumewe na mme ampende mkewe.
Nakuelewa Edelyn .Hapana sidhani kama kuna mwanamke anayemnyima mumewe tendo la ndoa kwa makusudi bila sababu ukiona mwanamke anamnyima mumewe tendo la ndoa na hayupo kwenye siku zake au haumwi basi ujue kuna sababu nyingine tofauti na hizo hivyo kaa chini uongee naye shida ni nini lakini mimi kwa mifano niliyokuwa nayo mara nyingi sababu inakuwaga ni majukumu tangu huu mfumo wa haki sawa ushike kasi kuna wanaume wameanza kukimbia majukumu yao kwa kiasi fulani
Siku zote jukumu la mwanaume ni kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto na jukumu la mwanamke ni kufanya kazi za nyumbani na kulea mume na watoto sasa siku hizi kuna wanaume wanataka wake zao wawasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia nusu kwa nusu yaani hadi hilo jukumu limeshaanza kuonekana ni jukumu la wanawake pia ila wao hawataki kusaidia wake zao kazi za nyumbani na kulea familia na hilo bado linaonekana ni jukumu la mwanamke peke yake
Sasa piga mahesabu mwanaume atafute hela ahudumie familia lakini mwanamke atafute hela ahudumie familia na bado afanye kazi za ndani na kulea watoto hebu nijibu hapo nani atakuwa anafanya majukumu mengi kuliko mwenzie na nani atakuwa anachoka kuliko mwenzie? Wakati wanawake tuliumbwa kuwa wasaidizi na wategemezi kwa wanaume? Sasa unakuta mke kafanya vyote hivyo kachoka bado tena mume anataka wakiwa chumbani mke ampe kila siku tena kwa ushirikiano wa hali ya juu
Hebu muwe na huruma jamani na hiyo mizigo mnayotubebesha halafu tukiwaambia mnasema sisi ni wajeuri na wavivu hatufai kuolewa lakini ukweli mnaujua na hamtaki kuukubali hilo ndo tatizo na pia hiyo sababu niliyokupa siyo kwa wanawake wote kwahiyo kama nilivyokwambia hapo juu kuwa ukiona mkeo anakunyima na haumwi wala hayupo kwenye siku zake kaa chini uongee naye akwambie nini sababu msuluhishe na siyo ukimbilie kumsaliti au kumuacha au kumuolea mke mwingine