Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Khaa hivi wanaume mko serious au mnatuzuga tu hapa? Yaani unataka kuniambia kwamba hamjui kuwa kuna wanaume wenzenu wanachepuka hadi wanazaa watoto nje ya ndoa au mnajitoa ufahamu tu?
Akili zao haziko sawa hao, hebu nielewe kidogo.

Hatuchepukagi kwa kupenda mzee mama
 
Khaa hivi wanaume mko serious au mnatuzuga tu hapa? Yaani unataka kuniambia kwamba hamjui kuwa kuna wanaume wenzenu wanachepuka hadi wanazaa watoto nje ya ndoa au mnajitoa ufahamu tu?
Wanajitoa ufahamu mi nawaangalia tu hebu soma hapa. Huu uzi ulinifanya nisilale usingizi kama siku tatu

Hatari sana mkuu! Leo naelekea sehemu flani simu inaita namwambia call me after like 30 minutes ananiambia kwani nataka nifanye nini?? Nkalikatia simu na nkaliblockia mbali huko.

Mimi nina mishe zangu wewe unataka unizonge hapa saa hizi
Yaani natamani huyo mchepuko asome hii comment yako "Nkalikatia simu na nkalibrock mbali huko" aisee.
 
Mwe mwe mweeeeeeh!!
Heaven Sent umesoma hii?

Mie nitafuatilia tu, acha nikutane tu na ninachokitafuta.
Nimesoma kwa makini engineer mimi. Eeh tunasemaga wachepuke kwa heshima sijui ooh usiposhika simu unapunguza stress. Sipati picha stress/presha za kuja kujua mume ameshazaa watoto wawili nje; afu si alichepuka kwa heshima lakini au?

Hilo suala la kupikika ukaiva sijui, kukomaa (utadhani nazi; me nimeamua kuwa dafu basi); me nimeligomea. Only a foolish man atafurahi anapofanya ujinga afu mke anapiga kimya. Mwanamke mwema akikuignore ni kwamba ameshakuchoka; jiandae kisaikolojia. Btw nimesoma stress management; nipo vizuri mnyaki teh
 
Hivi hii wizara ya historia ni ipi??

Huyu mwanamke akamatwe haraka, apelekwe kwenye jumba la makumbusho ili watoto wa kike hasa wanachuo na wanaoenda kuolewa wawe wanakwenda kumuona

Tafadhari waziri mwenye zamana hakikisha hiki kiumbe hakipotei aseee
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
 
Harafu, utasikia hakuna wife material wakati sampuli kama hizi zimo nyingi tu hapa jamii forums, jamani oeni mpewe maono. Shikamoo sky..
 
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?

Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?

Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.

Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
ili toleo lako ndo linamalizikia kama kweli yametoka moyoni
 
Wanajitoa ufahamu mi nawaangalia tu hebu soma hapa. Huu uzi ulinifanya nisilale usingizi kama siku tatu

aisee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwabambikia watoto tatizo wanaume wanajionaga wajanja sana ila hawajui kwamba hayo mambo wanayoyafanya wao kwa kuyaweka wazi ili kutukomoa wenzao tuna uwezo wa kuyafanya kwa siri

Ndo maana nawaambiaga kamwe wasishidane na walipotoka kuna wanaume miaka thelathini wanalea watoto siyo damu yao sasa si bora sisi ambao unajua kabisa kuwa mume wangu ana mtoto nje kuliko wao wanaobambikiwa

Wanacheza na mwanamke nini Mungu siyo mjinga alipowaambia waishi na sisi kwa akili hiyo ni maana yake sisi tumewazidi akili kwahiyo wanatakiwa wapandishe akili zao zifikie level yetu ndo wataweza kuishi

Na sisi na wanaume wanaotumia ubabe kutawala wake zao hao ndo hawana akili ila wanatumia ubabe kama kujihami tu kuna wanaume wanatumia uhuru kutawala wake zao na wanafaidi ndoa vizuri tu hawajui kuwa mwanamke atakuwa kutokana na vile mwanaume wake anavyomtreat
 
Nimesoma kwa makini engineer mimi. Eeh tunasemaga wachepuke kwa heshima sijui ooh usiposhika simu unapunguza stress. Sipati picha stress/presha za kuja kujua mume ameshazaa watoto wawili nje; afu si alichepuka kwa heshima lakini au?

Hilo suala la kupikika ukaiva sijui, kukomaa (utadhani nazi; me nimeamua kuwa dafu basi); me nimeligomea. Only a foolish man atafurahi anapofanya ujinga afu mke anapiga kimya. Mwanamke mwema akikuignore ni kwamba ameshakuchoka; jiandae kisaikolojia. Btw nimesoma stress management; nipo vizuri mnyaki teh
Need i say more!!

Kwakweli HAPANA.
 
Back
Top Bottom