Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,635
- 126,346
Pole dear, wakati mwingine unapoteza anazima simu na kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani mimi jamani jf inanifanya nikeshe nikiwahi sana kulala ni saa nane usiku haki hadi kuna muda najuta kuwa member wa humu ila kuifuta ndo roho inasita daah[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]