Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
- Thread starter
- #541
Mchepuko ni Yesu kwa sasaUzoefu unaonesha wanawake wengine kama mleta mada unakuta wana michepuko ya kudumu
Kwa hiyo penzi kwa mume wa ndoa linakuwa limeshakata kabisa!
Yani kuna wanawake wengine anakuwa na mchepuko ambae anamthamini kuliko mume alieko ndani!
Mwanamke mfano anaendesha gari ikigongwa wa kwanza kumwambia ni mchepuko
Yani nimewaona watu wa hivyo ofisini.
Na hata kwenye mazungumzo wanakuwa na mtazamo kama wa mleta mada !




