Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Amen...!Oooh puliiz; All is such a strong word. Wapo wanaume wanaojiheshimu wao na wake zao; bila kusahau viapo vyao vitakatifu vya ndoa.
Amen...!Oooh puliiz; All is such a strong word. Wapo wanaume wanaojiheshimu wao na wake zao; bila kusahau viapo vyao vitakatifu vya ndoa.
Hapana! Me nataka umpate Musa wako tatizo mudaaaaunaniombea mbaya enh?
Kuna mahusiano mengine yamkini mke angeweza kuyastukia mapema pengine hata isingeweza kufika pa mtoto kuzaliwa nje ya ndoa,
Lakini kwa vile baadhi ya wanawake kule kutojali au kule kutosimama kwenye zamu zao ktk ndoa imepelekea mke kujisahau na hivyo kufanya yake mahusiano ya nje kuweka mizizi kiasi cha hata m(wa)toto kuzaliwa bila mke kujua hadi baadae sana!
Muda umefanyajeHapana! Me nataka umpate Musa wako tatizo mudaaaa
We binti utakosa mumee shauriloWenzako wanaitaga huko kuignore ndo kukomaa katika ndoa eti. Yani kuishi in denial ndo tunaita kukomaa.
Na itarudi pia haitabaki kwa Joisi...na mb oo ni ya Joisi
I will add you on the list of the people who have never trusted me in here but out of JF, I am the best to themNaomba nigune kwa herufi kubwa MMMMHHHH
hahah kwahio mimi nikiomba vp utanikata?



nitakataa sababu nitajua tu kuwa utakuwa unataka unifanye mchepuko maana kama mpenzi sijui mke tayari unaye sasa mimi si nitakuwa lofa kuchukia uchepukaji halafu bado nikubali kuwa mchepuko?



Yes wapo wengi dear seama Gwaji boy ndio alinifanya nikaona wanaume wengine huwa hawajiheshimuOooh puliiz; All is such a strong word. Wapo wanaume wanaojiheshimu wao na wake zao; bila kusahau viapo vyao vitakatifu vya ndoa.



Mimi huu uzi umenichosha jamani au Heaven Sent unasemaje
Muda mchache mambo mengi. Wakati yeye akimuwaza mussa, huku mussa anawaza atamshinda vipi pharao (kazi ndugu yai)Muda umefanyaje
Hahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...
Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
I hope I'm not one of themI will add you on the list of the people who have never trusted me in here but out of JF, I am the best to them
Na miuno ile eti???🤣🤣🤣🤣🤣Yes wapo wengi dear seama Gwaji boy ndio alinifanya nikaona wanaume wengine huwa hawajiheshimu![]()
Usijali mdogo wangu, sema huku Jf watu wanaofanya hivyo hawapoSame old nonsense. Ukiletwa Uzi wa jinsi ya wanaume kututreat wake zao kama Yesu alivyolipenda kanisa lake uniite
Mimi huu uzi umenichosha jamani au Heaven Sent unasemaje



yaani mimi jamani jf inanifanya nikeshe nikiwahi sana kulala ni saa nane usiku haki hadi kuna muda najuta kuwa member wa humu ila kuifuta ndo roho inasita daah



Hahaha uzuri sisi tunahitajiana, hakuna aliyemfanyia mwenzie favor kuwa naye; so kila mtu yupo responsible. Sio haya mambo kila siku wewe tu ndo uwaze kumfurahisha mwenzio; afu yeye anavimba tu maana anaona kukuoa kama ndo kashakuwa Yesu wako sasa.We binti utakosa mumee shaurilo
You are not. Declaration madeI hope I'm not one of them