data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,175
- 22,752
Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana.
Yani ni mayai sijui mnajimwagia..
Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa?
Hivi nyie wanawake mbona hamna akili.