Wanawake safarini hawajui kukataa


form six ametoka kumaliza chuo???, usitudanganye hapa
 

kama ni kukwepa gharam basi ikiwa safari ya mwanza unaanza kumtongoza ukikaribia nyegezi hapo utakuwa umeminimize cost

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Marhaba mkwe....hebu mwambie mtoa mada akutake radhi anamaanisha hata mimi nikisafiri ntakuwa maharage ya Mbeya...?

hana akili huyu.. sio wote ingawa wapo wengi wa jamii hiyo. alitakiwa kuweka NB mwishoni kuepusha lawama ya mtazamo wake.
 

acha kudanganya umati..
 
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.

Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?

Dedicated kwa wote wanaojua.

Hili suala ni kweli kabisa wakati nasafiri kutoka Dar es salaam kwenda bukoba wiki iliyopita kuna kabinti nilshangaa kanakuja kukaa na mimi huku kanachekacheka mi wala sikushoboka wala nini
 
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.

Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?

Dedicated kwa wote wanaojua.
Na mapenzi ya kwenye badi huishia stendi
 

Kuna watu hawajui kudanganya jameni
 
Nasafiri kwa mwezi mara 2 na njiani natumia siku 4 hadi 5 inatemgea na sehemu husika...
NA SIJAWAHI HATA SIKU MOJA KUTONGOZWA NA KULALA NA MTU NJIANI.
 
Reactions: FTP

Mhhhh... nyie ndo dunga dunga wenyewe tunao ogopa hata kukupatia mtoto mdogo umbebe japo kwa dk 0 tu kwani unaweza fanya yako na ushetani wako '
 
Hili suala ni kweli kabisa wakati nasafiri kutoka Dar es salaam kwenda bukoba wiki iliyopita kuna kabinti nilshangaa kanakuja kukaa na mimi huku kanachekacheka mi wala sikushoboka wala nini

Utakua domo zege.
 
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....

Hapo unataka kuniambia nn?

Ujue tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…