Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Interesting indeed.....kwa hiyo mwanamke akiwa safarini anavaa utu mwingine tofauti na ule wa nyumbani
kwa hali hii kila ukitaka kusafir lazma tusafir wote
Interesting indeed.....kwa hiyo mwanamke akiwa safarini anavaa utu mwingine tofauti na ule wa nyumbani
hivi jf haina jinsi ya kubaini exactly umri wa member wake, maana hivi vitoto visumbufu
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....
Hapo unataka kuniambia nn?
ushachapiwa tayari mkuu,
kwenye safari ndefu hakuna demu mgumu mi nlishagawachapa wengi tu safarini napenda kukaa siti moja na demu!
Kuna tofauti kati ya mwanamke na muuza K. Nadhani mleta mada anaongelea wauza K.
Kwani wanajitongoza au wanatongozwa?????? Na watongozaji je, ni maharage ya wapi????????
kwa hali hii kila ukitaka kusafir lazma tusafir wote
hivi jf haina jinsi ya kubaini exactly umri wa member wake, maana hivi vitoto visumbufu
watongozaji wao ni kuni.siyo maharageKwani wanajitongoza au wanatongozwa?????? Na watongozaji je, ni maharage ya wapi????????
watongozaji wao ni kuni.siyo maharage
kuni zinapimwa kwa uwezo wake wa kutoa joto
Badala ya kuandika sredi hii hebu nenda kamuulize mama yako huenda ana majibu mazuri...
Mie mke wangu hata nimwache katikati ya mabazazi sita...hawapati kitu...oa mdada anayejielewa na kijiheshimu
aiseee.... Kwahyo ww unafikir wanawake wote wanaokuwa safarini wagegedwa tu.
Hivi kwa mitazamo hii tutajenga familia kweli?