Wanawake safarini hawajui kukataa

Wanawake safarini hawajui kukataa

Onyo kwa wanaume, msikubaliane nao kwa tabia km izo.
 
Limemgusa, ni kawaida. Ndio maana sikumjibu huyo

Kweli limenigusa, maana ni juzi tu shoga yangu mama Payer kanisimulia yaliyojiri kwenye safari yake ya kutoka Njombe to Arusha. Ndio maana nikakushauri umuulize akusimulie in details jinsi alivyotongozeka.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe nawe kikongwe! Mama angu hajui jf wala fb. Mnafahamiana?
 
Hatujafahamiania jf, nimekuosha sana mikamasi hivyo uwe na heshima. Jukwaa hili hata bibi zako wamo
 
mimi nadhani huwa wanakubali ili usiendelee kumsumbua kutwa nzima.
 
yaani ni mchele mchele.ukikaa naye siti moja ktk basi moja kwa safari ndefu ya kutoka dar kwenda kwa mfn mbeya,bukoba,mwanza nk,ukimtongoza tu,kabla hata hamjafika morogoro tayari kitu kimeshaeleweka.ila tu jiandae kubeba jukumu la kumnunulia "tuvyakula" njiani.

Hahahaaaaa
 
mkuu upo sahihi sana , hata mimi nilimgegeda mdada mmoja arusha tulikuwa tunatokea dom. halafu tena kuna siku nilikuwa naenda mtwara nikamgegeda tena mwingine . Mi nafikiri kwa sababu ya uchovu wanafikiri kugegedwa ni njia sahihi ya kupunguza uchovu . hata wewe kama unasafiri leo umekaa mdada au mmama wala usimwogopee macho
 
Nasafiri kwa mwezi mara 2 na njiani natumia siku 4 hadi 5 inatemgea na sehemu husika...
NA SIJAWAHI HATA SIKU MOJA KUTONGOZWA NA KULALA NA MTU NJIANI.
Ongera sana,lkn nina swali au kwa kuwa unapenda vibamia unaogopa kukutana na mandingo?
nisije nikakupongeza bure kumbe ni hofu ya mandingo.Maana kuna mawili au umeokoka au unaogopa mandingo na magonjwa.
 
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.

Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?

Dedicated kwa wote wanaojua.

Ni kweli wapo wanaokubali haraka lakini hufanya hivyo akijua anchokifanya, baada ya kukubaliwa kazi ni kwako kununua, soda, maji, chips na mahitaji mengine, mkifika kituoni yeye hashuki anakwambia njoo na chips, kuku na coke lakini pesa hakupatii, atakwambia anaishia Mwanza kumbe anaenda Tarime, mkifika Nyakato wewe unashuka yeye anapitiliza kwenda Buzuruga na kukubaliana kuwa kesho mtafutane atakuwa Mwanza, ukimpigia kesho yake kama mlivyokubaliana anakwambia tayari keshafika Nyamongo, Dar alikuwa ameenda kumsalimia kaka Lugalo, ukimwuliza mtaoanana lini anakwambia hajui ni lini. Na mwingine unaweza kuwa umegharimikia njia nzima, mikifika stand tu, unaona anapokelewa, kukumbatiwa na kupigwa mabusu makali na Jemba fualani hivi, mara haooooooooooooooo kwenye Harrer na wewe unabaki kuuliza nauli ya Bodaboda !!!!
 
Mtoa mada si utakuwa umewafukuzia watu ndege wao na kufanya safari za wanaume wenye mchezo huu kuwa ngumu
maana wadada wakiguswa kwenye usafiri wataikumbuka mada hii. LKN asante maana jf inaelimisha.
 
Education first
 
Ni kweli wapo wanaokubali haraka lakini hufanya hivyo akijua anchokifanya, baada ya kukubaliwa kazi ni kwako kununua, soda, maji, chips na mahitaji mengine, mkifika kituoni yeye hashuki anakwambia njoo na chips, kuku na coke lakini pesa hakupatii, atakwambia anaishia Mwanza kumbe anaenda Tarime, mkifika Nyakato wewe unashuka yeye anapitiliza kwenda Buzuruga na kukubaliana kuwa kesho mtafutane atakuwa Mwanza, ukimpigia kesho yake kama mlivyokubaliana anakwambia tayari keshafika Nyamongo, Dar alikuwa ameenda kumsalimia kaka Lugalo, ukimwuliza mtaoanana lini anakwambia hajui ni lini. Na mwingine unaweza kuwa umegharimikia njia nzima, mikifika stand tu, unaona anapokelewa, kukumbatiwa na kupigwa mabusu makali na Jemba fualani hivi, mara haooooooooooooooo kwenye Harrer na wewe unabaki kuuliza nauli ya Bodaboda !!!!

Unahalalisha au siyo?
 
thumb up..!
 
hapo ngoma droo kama mwanamke ni mwenyesiKUTONGOZWA akiwa safarini hata mwanaume ni mwepesi KUTONGOZA akiwa safarini
 
Back
Top Bottom