Kamanda inaonekana unaongea kwa uzoefu,,,,,,!
Kamanda dolevaby, mbona hiyo ndio habari ya mujini, wanasimulia waliowahi kupata au kutoa masahibu kama hayo nikiwemo mimi.
Last edited by a moderator:
Kamanda inaonekana unaongea kwa uzoefu,,,,,,!
Pole kaka, mpigie Mara kwa Mara. Kama ana smart phone na hana battery bank unalo. Next tym mnunulie awe nayo asiwe na sababu ya chaji imeisha
Pole kaka, mpigie Mara kwa Mara. Kama ana smart phone na hana battery bank unalo. Next tym mnunulie awe nayo asiwe na sababu ya chaji imeisha
Nasema hivi kuna siku uliwahi post kuwa wewe ni timu kibamia,nikaunganisha hapo kwamba huenda unaogopa kukutana na mandingo wakakuumiza,pili labda umeokoka na hivyo kuwa unamwogopa Mungu ndo maana ukisafiri unafika na kurudi bila kuguswa.nadhani hapo umeelewa.
Hilo la kuokoka nalo neno,ila usijaribu ukakutana na mandingo anayejua kulitumia utahamia,maana ukumwambia weka kibamia style yumo ukimwambia piga deep yumo,na asiwe na pressure au kisukari yaani awe na blood circulation nzuri jitu la moto balaa,usipime,ila usijaribu.Simama na wokovu.of course me team bamia roast,,,,, mandingo nawaogopa wanajua kuchubua tu wenzao...... yeah! nimeokoka nampenda bwana
nawe utafanya hivyo?