Wanawake safarini hawajui kukataa

Wanawake safarini hawajui kukataa

ingekuwa vema kama ungefafanua na aina ya usafiri. By flight dar to msm is aprox 2,hrs. Sijui? Kama hiyo nayo ni safari ndefu. Ungezungumzia tu safari ndefu siyo kutaja mahali. Kumbuka hata k,koo to mbagala ni safari ndefu, ukitumia usafiri wa miguu.

Jiongeze mkuu...
 
Mimi nikiwa naenda tanga napiga simu kwa muuza tiketi anitafutie siti ya mwisho yenye dem mzuri kabla ya mzani wa kibaha mambo yanakuwa yashanoga , vicheko kwa wingi na kugongeana, tena
 
Some truth..umenikumbusha trip moja BK-DAR..mtu usipoangalia unaenda lala na total stranger
 
Hii nimeishuhudia zaidi ya mara mbili, mwanamke ilibidi ashukie Chalinze lakini akapitiliza mpaka Dar baada ya kushawishiwa na mdau.


Nahi
 
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.

Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?

Dedicated kwa wote wanaojua.

Natamani siku npande basi na dada yake mtowa mada ili ni apply hii theory...
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana mana kuna siku nilitoka Arusha kwenda mwanza nikakutana na mrembo mmoja njiani kama kawa akanzisha maongezi mwenyewe na nilivokuwa mkware nikatupia kitu kikajibu mwishowe nikala mzigo!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom