Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,581
Hapana, mwanamke yeyote tuu. Hata kama ana Mme ila kasafir peke ake.
Mwanamke yeyote tu, ok ngoja nianze kumlia timing Salma Kikwete.
Hapana, mwanamke yeyote tuu. Hata kama ana Mme ila kasafir peke ake.
Akisafiri peke ake tuu, we Fanya yako. Ila km tetesi za babu seya ni za kweli.... Sikushauri kutunisha misuli yako pale
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa ktk safari ndefu mf. Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.
Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?
Dedicated kwa wote wanaojua.
Pole kaka, mpigie Mara kwa Mara. Kama ana smart phone na hana battery bank unalo. Next tym mnunulie awe nayo asiwe na sababu ya chaji imeisha
hahahaaa! Mkuu yote hayo ya nn?
Hivi unafikir unaweza kumzuia mwanamke asichapwe?
Mtu mzima akiamua kufanya jambo hakuna atakae mzuia...
Ngoja namm nikajiliwaze kwa Khantwe
Interesting..
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....
Hapo unataka kuniambia nn?
unamaanisha unaweza ukatongozwa na ukakubali,ila sio hovyo hovyo kwa mazingira hayohayo ya safariniSi kweli.
Speaking for myself.
Labda kwa wasiojitambua. Huwezi kuwa safarini unatongozwa na kukubali hovyo.
Hapana, mwanamke yeyote tuu. Hata kama ana Mme ila kasafir peke ake.
Mwanamke yeyote tu, ok ngoja nianze kumlia timing Salma Kikwete.
Yan mi nlikuwa najifaragua nikijua mi ndo njia kuu kumbe kipoozeo...!
aisee gari liliwaharibikia???????mmmmh