Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Wewe unamuona kama mwanamke vile....kumbe huwa ni mfanyabiashara pale corner bar.
wanaofanya biashara Corner bar sio wanawake???mwanamke ni nani na mfanyabiashara corner bar ni yupi?
Wewe unamuona kama mwanamke vile....kumbe huwa ni mfanyabiashara pale corner bar.
Hata nikiwa naenda kwenye intavyuu??
Mie mke wangu hata nimwache katikati ya mabazazi sita...hawapati kitu...oa mdada anayejielewa na kijiheshimu
jamaa yangu alikua anaenda Kigoma,alipanda basi moja na mdada aliyekuwa anaenda Kigoma kwenye interview,
ajabu siku ya kurud walipanda tena basi moja wakakaa siti moja,njian walipokua wakirud dsm iliwapasa walale mahali(nimepsahau alinitajia) walichukua room ya single bed wakazini,ila bint ni mama wa wanaume wawili,na jamaa ni baba(wakat huo alikua hajajaaliwa mtoto).
Sasa case yako ya interview iangalie upya Khantwe
ingekuwa vema kama ungefafanua na aina ya usafiri. By flight dar to msm is aprox 2,hrs. Sijui? Kama hiyo nayo ni safari ndefu. Ungezungumzia tu safari ndefu siyo kutaja mahali. Kumbuka hata k,koo to mbagala ni safari ndefu, ukitumia usafiri wa miguu.nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, dar to musoma ni wepesi sana kutongozeka.
Swali: Ni kweli? Kwa nini iko ivo?
Dedicated kwa wote wanaojua.
Kuna tofauti kati ya mwanamke na muuza K. Nadhani mleta mada anaongelea wauza K.
ni haohao ulilokaa nao
Kaka kachapwa tayari huyo. Kwani hata mimi nimesha wachapa sana. Tena warembo sana ndo rahisi kuliwa,
Interesting..
Malaya tu huyo manina dhake...
shikamoo in-law..