Wanawake safarini hawajui kukataa

Wanawake safarini hawajui kukataa

Unahalalisha au siyo?

Sihalalishi bali nawaonea huruma wanaume wenye tabia za kutongoza kila mwanamke, matokeo yake ni kuambiwa mwanamke anaishia Songea, na mkifika huko mambo yatakuwa supper na unapewa namba ya simu fake, ukiambiwa imeishiwa charge, basi Jinaume linakuwa kama Jibwa vile, linanunua vyakula njia nzima, Mdada kumbe anaishia Makambako !!! Mkifika Makambako unamwona huyo anatolewa begi lake kwenye buti na kuondoka zake ilihali wewe unaendelea na safari
 
Tehe tehe !
ww mtoa maada mbona unaanza kunipa was was?
Mke wangu yupo safarin tangu juzi na gari liliwaharibikia njian ikabidi atafute gest alale ili kesho yake aendelee....

Hapo unataka kuniambia nn?
 
Nona kaukweli aisee ,....ila inatokea kwa wanaume wakware na kwa wasichana malaya! Mimi imenitokea nje ya nchi mara 2 ,huu utundu wa kutaniana mwanamke ugenini ni hatari hawakatai!
Nauliza kujua, kupenda kujua sio kosa.
Inasemekani kuwa mwanamke akiwa katika safari ndefu mfano, Dar to Musoma ni wepesi sana kutongozeka.

Swali: ni kweli? Kwa nini iko ivo?

Dedicated kwa wote wanaojua.
 
Nona kaukweli aisee ,....ila inatokea kwa wanaume wakware na kwa wasichana malaya! Mimi imenitokea nje ya nchi mara 2 ,huu utundu wa kutaniana mwanamke ugenini ni hatari hawakatai!

Hbr ya kweli kbs hii
 
Mimi nina bahati mbaya aise!!.
Mara nyingi huwa naenda kukata tiket kabla ya kuchagua siti naangalia zile zilizobukiwa tayari naangalia majina kiwizi wizi, nikikuta jina la kike basi nachagua hapo hapo. Asubuhi nakuja stendi kupanda kwenye gari nakuta mama mwenye mtoto na mazaga zaga mpaka nachoka aisee. Imeshanitokea zaidi ya mara nne.
Sirudii tena, nitakuwa napanda tuu
 
Mimi nina bahati mbaya aise!!.
Mara nyingi huwa naenda kukata tiket kabla ya kuchagua siti naangalia zile zilizobukiwa tayari naangalia majina kiwizi wizi, nikikuta jina la kike basi nachagua hapo hapo. Asubuhi nakuja stendi kupanda kwenye gari nakuta mama mwenye mtoto na mazaga zaga mpaka nachoka aisee. Imeshanitokea zaidi ya mara nne.
Sirudii tena, nitakuwa napanda tuu
Nadhani hii ina nafuu,mimi sichagui seat nakaa na yeyote anayeasafiri na nakuwa poa tu ila siku moja nilikaa na bibi mzee,yaani balaa lake lilikuwa anatema mate ndani ya basi na niliona kumwambia itakuwa kama nimemnyanyasa kwa kuwa siku moja nami nitazeeka.Bahati nzuri safari ilikuwa ya karibu.Ukikaa na mwenye mtoto msaidie maana kama wewe siyo mzazi basi siku moja utakuwa mzazi.
 
Ongera sana,lkn nina swali au kwa kuwa unapenda vibamia unaogopa kukutana na mandingo?
nisije nikakupongeza bure kumbe ni hofu ya mandingo.Maana kuna mawili au umeokoka au unaogopa mandingo na magonjwa.

Sijaelewa
 
Sijaelewa
Nasema hivi kuna siku uliwahi post kuwa wewe ni timu kibamia,nikaunganisha hapo kwamba huenda unaogopa kukutana na mandingo wakakuumiza,pili labda umeokoka na hivyo kuwa unamwogopa Mungu ndo maana ukisafiri unafika na kurudi bila kuguswa.nadhani hapo umeelewa.
 
mi kila nikitoka dar naenda moshi ... Wadada wananitongoza tu...ya mwisho ilikua jumanne iliyopita kwenye bus la dar express ilikua mshikemshike
 
Si kweli.
Speaking for myself.

Labda kwa wasiojitambua. Huwezi kuwa safarini unatongozwa na kukubali hovyo.

Style zakutongoza ziko nyingi nahii inategemeana na muonekano wa Mwanamke hucka,,,Km mwanamke ana muonekanao wakujitambua kuna namna yake na mzigo anatoa nnachiotaka kusema ni kwamba Haya mambo yakutokeana kwenye Safari ndefu yapo sana nahii inasababishwa na Kuwa pamoja kwa muda mrefu kwamaana inatengeneza mazoe yasiyo rasmi,,,,!
 
Ni kweli wapo wanaokubali haraka lakini hufanya hivyo akijua anchokifanya, baada ya kukubaliwa kazi ni kwako kununua, soda, maji, chips na mahitaji mengine, mkifika kituoni yeye hashuki anakwambia njoo na chips, kuku na coke lakini pesa hakupatii, atakwambia anaishia Mwanza kumbe anaenda Tarime, mkifika Nyakato wewe unashuka yeye anapitiliza kwenda Buzuruga na kukubaliana kuwa kesho mtafutane atakuwa Mwanza, ukimpigia kesho yake kama mlivyokubaliana anakwambia tayari keshafika Nyamongo, Dar alikuwa ameenda kumsalimia kaka Lugalo, ukimwuliza mtaoanana lini anakwambia hajui ni lini. Na mwingine unaweza kuwa umegharimikia njia nzima, mikifika stand tu, unaona anapokelewa, kukumbatiwa na kupigwa mabusu makali na Jemba fualani hivi, mara haooooooooooooooo kwenye Harrer na wewe unabaki kuuliza nauli ya Bodaboda !!!!

Kamanda inaonekana unaongea kwa uzoefu,,,,,,!
 
Back
Top Bottom