msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 838
- 1,167
Wakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo ombaomba kuliko wewe mtu mzima tena umeolewa, unafanya kazi, pesa ya bando la WhatsApp unayo halafu unaomba pesa nyingine.
Hakuna mwanaume anayependa kutoa hela, maana wote mlipewa viuongo sawa, mikono, miguu, akili n.k ili mfanye kazi sasa, sasa nyie ni kuomba hela tu!
Utafiti usiyo rasmi
Asilimia kubwa wanaojiuza ni wanawake na ukiwauliza watakwambia wanashida na Fedha.
Sasa swali, mbona wanaume hawajiuzi kama nyie ili tu kupata pesa? Ina maana wanaume wana akili sana ya kutafuta pesa au ni vipi?
Ukweli mchungu, punguzeni tabia hii imekuwa kero.