Tafuta hela kwa mipango yako binafsi na sio kwa ajili ya wanawake

Nov 8, 2016
23
33
•••••

Wiki hii nataka uelewe kwanini usifuate huu msemo wa ‘tafuta hela’ ili kupata wanawake. Unatakiwa upande bustani yako ndio vipepeo waje.

Utaelewa kwanini ushauri huu ni mbaya na kipi cha kufanya. Tafuta hela kwa plan zako binafsi ila sio kwa ajili ya wanawake. Unakuta mtu na miguu yake mizima kabisa anatumia magogo kutembelea.

1. Ukifuata msemo huu, thamani na utu wako (confidence) itaegemea kwenye fedha siku zote kupata mwanamke unae mtaka.

Yaani bila pesa wewe si kitu si chochote, ina maana hela kwako itakuwa fimbo ya kutembelea, bila kuhonga hutoboi. Bila pesa utakuwa mpiga punyeto na mtu wa kulia lia hovyo

Ni kama wale machalii seminary kule, ijumaa girls wa shule jirani wakija. Ni lazima wasukutue na viroba ili mistari iende .

Sikia ndugu yangu huwezi ukawa huna pesa halafu ni loser na ukawa na pesa ukawa vile vile loser

Thamani ya mtu inajengwa akiwa hana kitu, characher yako hiyo utaibeba maisha yako yote. Jithaminishe ukiwa huna kitu.

2. Aina ya wanawake utakaovutia ukiwa na hela

Ni kweli kwamba ukitengeneza bustani vipepeo watakuja. Ila na nyuki pia na bubibui pia. Yaani kuna wanawake wazuri wacha Mungu, then kuna hawa emotionally unstable, manipulative na golddiggers wote unawavuta.

Sasa kanuni iko hivi "You can't turn a hoe into a house wife." Wanaume wengi ambao wako busy na mwanamke wa kwanza anaempa attention kwa mara ya kwanza basi yeye ndio anataka kumfanya wife.

Kwa kifupi hamjui huyo mwanamke, hajui tabia hajui hata mwanamke amempendea nini. Ni lazima ujue aina ya mwanamke unayemtaka na maisha unayotaka kuishi. Huwezi ukajua kama huna experience kumbuka "Mwanamke anachagua mwanaume wa kulala nae, ila mwanaume ndiye anaechagua mwanamke wa kuishi nae."

Usipotumia nafasi yako vizuri, hutofurahia hata hiyo pesa uliyo nayo.

3. Utanunua muda, na mwili wa mwanamke ila sio upendo

Ukiwa na hela faida yako ndio hiyo, unaweza ukanunua muda na mwili wa mwanamke ila sio upendo wake. Ukitaka upendo ni lazima (sijakosea kurudia ) uhakikishe umeingia akilini na moyoni kwake.

Anyway,

1. Kama mwanaume ni lazima ujue thamani halisi na usiegemee kwenye vitu feki (superficial), havina ubora na havidumu.

2. Ukiweza ku game (kutongoza & kuwa kwenye mahusiano na) mwanamke yeyote yule, ukiwa broke basi you are settled for the rest of your life.

Uzi uliandaliwa kwa whatsapp status, enjoy.
 
hehe hela sh ngapi mbona hamuandikagi viwango

hivi unafahamu kuna wanawake kulala nao usku mmoja anaweza kukuletea bili ya zaid hata ya laki 5?
 
Hiyo imekuja baada ya kuona hawa wanathamini hela kuliko mtu, had men wengi wamekuwa disappointed
 
Back
Top Bottom