Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!?
Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke anakuleleawanao, kubali yaishe. Na waliokuza, wapeni maua yao. Single mothers, najua mmekuwa kama kila baya ni nyie, ila poleni na pigeni moyo konde, yataisha.
Siku zote ua nikiangalia vitoto vyangu,bado vidogo, huduma vipewe, havielewi unapataje, umekosaje,
Huyo huyo ndo baba ndo mama ndo kila kitu.
Mtu alie na sehemu, Dar; naomba anihifadhi japo miezi 3 tu. Ntakuwa nimejiimalishe niendelee kupambana, hali si shwali.
NB: Naona wengi wamenichukulia kama omba omba au mambo ndo mwisho kabisaaaa!! Nimemaanisha kama kuna mtu ambaye ana nyumba vacant, ambayo haina mtu.
Sijaomba kuishi kwa mtu na kumtegemea, nina kazi inayosiwezesha kulea, kilichogoma ni mahesabu tu kuyaweka sawa.