Watoto waliolelewa na 'single mothers' ndiyo hatari katika ulimwengu wa leo

Nov 26, 2023
88
120
Samahanin kama kuna watu nitawakwaza ila ndo ukweli acha niuseme.

Hapa siwalaumu waliolelelewa na Single mother ila nawalaumu masingle mother. Yaaan watoto waliolelewa na single mother wengi hawana maadili. Kwanini?

Ma Single mother wengi hakili za kitoto, wengi hakili zao hazijakomaa,. Ma single mother wengi wanapenda sana watotowao kiasi cha kutowafundisha tabia njema. Wanawake huongozwa na hisia na si hakili hem fikiria mtoto alelewaye kwa hisia za mzazi pekee atakuaje badae. Single mother ndo huenda nawatoto wao bar, hucheza mbele yawatotowao michezo michafu isiyokua yakimaadili.

Watoto wao hatawakifanya fujo mtaani wakirudi nyumbani wanatetewa nawazazi wao.

Kizazi cha single mother ndo mpango wakwanza washetani kuibadilisha dunia. Mzazi aliyekosa maadili, kujilinda na kujitunza anaweza vip kumlea mtoto katika maadili mema ajitunze na ajilinde?

HUU NI UJUMBE KWENU SINGLE MOTHER WOTE. JAPO NAJUA WAKO BAADHI HUWAKUZA WATOTO WAO KATIKA MAADILI MEMA ILA WENGI WENU KIZAZI CHENU NDO SUMU MTAANI.

WANAUME MLOTELEKEZA WAKEZENU NA WAPENZI WENU BAADA YAKUWAZALISHA ZAMBI HII HAITAWAACHA SALAMA. WAZEEE WA KATAA NDOA MTAJIBU MASHTAKA HAYO MBELE ZAHAKI

UHURU WA KUONGEA NDANI YA JUMUIA YA UHURU WA HAKI NA UBINADAMU

KAULI HURU
 
I hope muandiko wako hauhusiani kwa namna yoyote na malezi ya single mother.

Anyway, turudi kwenye mada.

Unaweza kuwa na point kidogo lakini kusema "kuwa single mother = kukosa maadili" huo ni upuuzi wa hali ya juu.

Kuna mengi yanayopelekea familia kuwa ya single parent household, na bila kuyaangalia yote basi hoja zako zinakosa mashiko. Watoto wengi tu wametoka kwenye familia za aina hii na wamekua watu wa maana , na wapo waliotoka kwenye familia ya baba na mama na bado wakaishia kuwa watu wa hovyo.

Kuhusu watoto kudekezwa/endekezwa sana hili hata mimi silifurahii. Iwe inatokea kwa familia ya single mama, single baba, ama wote wawili.
 
Hujakosea kwa maoni yako uko sawa. Na nimesema Single mother haimaanishi wengine wote niwatakatifu la! Hapana ila katika Single mother asilimia ninyingi. Hem fikir mtoto wamiaka 20 analea bado anahakili zakiujana na analea peke yake pasina baba wa mtoto na amepangisha bado dam inamchemka hem nambie huyo mtoto wake anakua katika maadili gan?. Wachache sana wanaotoka kwa wazaz mmoja hasa wakike kua katika maadili mazur wengi wawatoto wazazi wao waliwekeza nguvu zote kupita kiasi kwawatoto wao wakawapenda zaid ya waume wao mtoto asiguswe. Mtoto anaitwa beg hili ni begi langu niko nalo kila mahali. Tudili na usingle mother kwanza afu turud kwafamilia ambao baba na mama wote hakili ni mfanano
 
Samahanin kama kunawatu nitawakwanza ila ndo ukweli acha niuseme
Hapa siwalaumu waliolelelewa na Single mother ila nawalaumu masingle mother. Yaaan watoto waliolelewa na single mother wengi hawana maadili kwanini?
Ma Single mother wengi hakili zakitoto, wengi hakili zao hazijakomaa,. Ma single mother wengi wanapenda sana watotowao kiasi chakutowafundisha tabia njema. Wanawake huongozwa na hisia na si hakili hem fikiria mtoto alelewaye kwa hisia za mzazi pekee atakuaje badae. Single mother ndo huenda nawatoto wao bar, hucheza mbele yawatotowao michezo michafu isiyokua yakimaadili. Watoto wao hatawakifanya fujo mtaani wakirudi nyumbani wanatetewa nawazazi wao.
Kizazi cha single mother ndo mpango wakwanza washetani kuibadilisha dunia. Mzazi aliyekosa maadili, kujilinda na kujitunza anaweza vip kumlea mtoto katika maadili mema ajitunze na ajilinde?

HUU NI UJUMBE KWENU SINGLE MOTHER WOTE. JAPO NAJUA WAKO BAADHI HUWAKUZA WATOTO WAO KATIKA MAADILI MEMA ILA WENGI WENU KIZAZI CHENU NDO SUMU MTAANI.
WANAUME MLOTELEKEZA WAKEZENU NA WAPENZI WENU BAADA YAKUWAZALISHA ZAMBI HII HAITAWAACHA SALAMA. WAZEEE WA KATAA NDOA MTAJIBU MASHTAKA HAYO MBELE ZAHAKI

UHURU WA KUONGEA NDANI YA JUMUIA YA UHURU WA HAKI NA UBINADAMU

KAULI HURU
Nyie mnaokesha kuwasema single mothers mmuombe Mungu sana kwani mnao watoto wa kike,mnao madada,ndugu wa kike nk.Kidole kimoja unachomnyooshea mtu ujue vinne vimekugeukia. Ole!
 
Hapa meongelea maadili ya watoto na kujilinda na ikiwa imetokea vibaya kwa yeye basi mtoto na akue vema. Tunaongelea maadili na ndomana Afrika tunafeli sana makanisani na msikitini hatuambiani maana et usimnyooshe mtu kidole kivp yaaan. Hauon maadili kila siku yanaporomoka ?. Tunyamaze maana haitupasi kwongea. Sawa tunazaa ila Tumwombe Mungu atuepushie haya. Hakuna bahati mbaya ikiwa hukubakwa ila tatizo labda si yeye maana hajui kitu hata wazaz wetu hawakutujuza kitu. Ila ukweli acha usemwe watu wabadilike wale litakao wagusa
 
Nikweli ila hapo alaumiwe nani mwanaume aliye mwagia ndani mwanamke akapata mimba ikiwa hawajajiandaa kuishi pamoja au mwanamke aliyekubali kuivua chup yake kabla ya nfoa?. Je walaumiwe wazaz walio walea ?. Au nani wakupewa lawama angalia pande zote
Wote kwa pamoja na zaidi mwanaume kwa kukimbia matokeo ya uzinifu wake

NB:siyo lazima kuvua chupi mkuu japo umetumia neno hilo kama kumdharaulisha mwanamke🤣🤣🤣🤣✌️
 
Wote kwa pamoja na zaidi mwanaume kwa kukimbia matokeo ya uzinifu wake

NB:siyo lazima kuvua chupi mkuu japo umetumia neno hilo kama kumdharaulisha mwanamke
Katika Usingle mother kweli makosa huazia kwababa kukimbia matokeo ya zambi yake lakin hapa lilepanga la Hukumu litakapo pita kabla yamatokeo kuna chanzo usije shangaa mchungaji wakanisa au shehe akaazibiwa kwa kosa la watoto wake japo kila mtu ataubeba mzigo wake ila kabla haujaitwa mzigo wake kuna aliye changia kuujaza wingi wazambi wataubeba pamoja. Mke na mume kisha single mother wooooote hakuna mwenye haki wala kutetewa na hata wazaz wahusikao kuwa lea ikiwatu hawakuwafundisha dunia ilivyo ila kama waliwafundisha kila mtu atakula sahan yake
 
Samahanin kama kunawatu nitawakwanza ila ndo ukweli acha niuseme
Hapa siwalaumu waliolelelewa na Single mother ila nawalaumu masingle mother. Yaaan watoto waliolelewa na single mother wengi hawana maadili kwanini?
Ma Single mother wengi hakili zakitoto, wengi hakili zao hazijakomaa,. Ma single mother wengi wanapenda sana watotowao kiasi chakutowafundisha tabia njema. Wanawake huongozwa na hisia na si hakili hem fikiria mtoto alelewaye kwa hisia za mzazi pekee atakuaje badae. Single mother ndo huenda nawatoto wao bar, hucheza mbele yawatotowao michezo michafu isiyokua yakimaadili. Watoto wao hatawakifanya fujo mtaani wakirudi nyumbani wanatetewa nawazazi wao.
Kizazi cha single mother ndo mpango wakwanza washetani kuibadilisha dunia. Mzazi aliyekosa maadili, kujilinda na kujitunza anaweza vip kumlea mtoto katika maadili mema ajitunze na ajilinde?

HUU NI UJUMBE KWENU SINGLE MOTHER WOTE. JAPO NAJUA WAKO BAADHI HUWAKUZA WATOTO WAO KATIKA MAADILI MEMA ILA WENGI WENU KIZAZI CHENU NDO SUMU MTAANI.
WANAUME MLOTELEKEZA WAKEZENU NA WAPENZI WENU BAADA YAKUWAZALISHA ZAMBI HII HAITAWAACHA SALAMA. WAZEEE WA KATAA NDOA MTAJIBU MASHTAKA HAYO MBELE ZAHAKI

UHURU WA KUONGEA NDANI YA JUMUIA YA UHURU WA HAKI NA UBINADAMU

KAULI HURU
Mbona Kuna vijana kibao tu hawana maadili na wamelelewa na baba na mama
 
Naelewa fika mada hii ni maalum ya utambulisho wa memba mpya-hii imekuwa kawaida kwa members wapya kubandika "sensitive topic" kama hizi kujipatia umaarufu kutoka kundi maalum ambalo linaelewa lugha hii.

Itoshe, lugha inayotumika ni ile lugha inayotumiwa na wabaguzi wa rangi Ulaya, Marekani ma kwingine duniani. Ni lugha yenye mienendo ya kibaguzi na unyanyapaa.

Kuna makundi yaliyojikusanya hapa JamiiForums yenye malengo la kuzodoa, kunyanyasa, kudhihaki, -Blaming and Shaming yote hayo yakiwa na athari kubwa na hasi kwa jamii inayolengwa.

Cha muhimu kutambua katika Uzii huu, ni kwamba

  • Sio wa Kitafifi-lacks substantial research and is based on Generalization
  • haina takwimu-there is no statistical data
  • na wala hauna Ushahidi-there is no concrete evidence
Mada hii ni ya kunyanyapaa, "single mothers" na watoto wao na hili halikubaliki.

Watoto bila ya kujali wamezaliwa na nani ni watoto.

JamiiForums lazima tukemee mada hizi.
 
Samahanin kama kuna watu nitawakwaza ila ndo ukweli acha niuseme.

Hapa siwalaumu waliolelelewa na Single mother ila nawalaumu masingle mother. Yaaan watoto waliolelewa na single mother wengi hawana maadili. Kwanini?

Ma Single mother wengi hakili za kitoto, wengi hakili zao hazijakomaa,. Ma single mother wengi wanapenda sana watotowao kiasi cha kutowafundisha tabia njema. Wanawake huongozwa na hisia na si hakili hem fikiria mtoto alelewaye kwa hisia za mzazi pekee atakuaje badae. Single mother ndo huenda nawatoto wao bar, hucheza mbele yawatotowao michezo michafu isiyokua yakimaadili.

Watoto wao hatawakifanya fujo mtaani wakirudi nyumbani wanatetewa nawazazi wao.

Kizazi cha single mother ndo mpango wakwanza washetani kuibadilisha dunia. Mzazi aliyekosa maadili, kujilinda na kujitunza anaweza vip kumlea mtoto katika maadili mema ajitunze na ajilinde?

HUU NI UJUMBE KWENU SINGLE MOTHER WOTE. JAPO NAJUA WAKO BAADHI HUWAKUZA WATOTO WAO KATIKA MAADILI MEMA ILA WENGI WENU KIZAZI CHENU NDO SUMU MTAANI.

WANAUME MLOTELEKEZA WAKEZENU NA WAPENZI WENU BAADA YAKUWAZALISHA ZAMBI HII HAITAWAACHA SALAMA. WAZEEE WA KATAA NDOA MTAJIBU MASHTAKA HAYO MBELE ZAHAKI

UHURU WA KUONGEA NDANI YA JUMUIA YA UHURU WA HAKI NA UBINADAMU

KAULI HURU
Nimekuelewa vzr sana
 
Kuntu Mkuu,kati ya watoto waliolelewa na single mother wote nliokutana nao ni wapuuzi wa mwisho,kazi yao kuvaa vikaptula vya kubana makalio.
 
Back
Top Bottom