Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Wanaringa sana hao na hizo papuchi zao.
Bila kufanya hivyo.....kutakuwa hakuna maana tena.........
Wanaringa sana hao na hizo papuchi zao.
Haaa kuna siku kwenye harusi muda wa kudaka ua, kuna mdada hadi alibebwa juu na uncle wake sijuiUmri ukienda wanaanza kuishi kwa matumaini..Wakienda kwenye harusi wanagombaniana maua kwa vikumbo teh
Heaven Sent mwaka huu ukiisha haujaleta mtu,nakuozesha kwa yeyote yule
Teh uncle kausha basiTeh teh umebadilisha mawazo huyo mwanao si ulisema umri unavyokwenda ndio anazidi kuwa kigoli kwamba hata akiwa na miaka 60 poa tu ,
Mzee mambo ya familia haya, tutaongelea homeTeh teh..Nilikuwa namtania..Ila naona kaichukulia serious
Bila kufanya hivyo.....kutakuwa hakuna maana tena.........
Nilikua namkumbusha tu mzee mwenzangu asifurahie kukuona tu kwenye kwaito za wengineTeh uncle kausha basi
Mzee mambo ya familia haya, tutaongelea home
Hahaha umejuaje, maana kwenye harusi za watu utadhani nalipwa, sio kwa kuchagamka kule. Everything happens in God's perfect time, so tulieni tu.Nilikua namkumbusha tu mzee mwenzangu asifurahie kukuona tu kwenye kwaito za wengine
Mtoa mada kuna mahali unakosea, kwani mwanamke hana haki ya kuchagua mwanaume anaempenda?
I believe in you ,it surely will happen in the right time , Muda mwingine tunakumbushana tu ,unaweza kuta umejisahau eti and God doesn't work that way often ,you scratch my back then i scratch yours sort of thing ...Hahaha umejuaje, maana kwenye harusi za watu utadhani nalipwa, sio kwa kuchagamka kule. Everything happens in God's perfect time, so tulieni tu.
Ha ha ha ha ha ha haaa.. Kwakweli..!Akina #miss chagga, #valentina wataisoma number kimya kimya. Na avatar zao za maua haha...
Hahahaha si kwa kuwachamba hivi ila wamekuelewa 😀😀Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa, mvulana yupo kamili kajiandaa na anamaanisha, msichana anakataa kwa visingizio vya kipumbavu mvulana anaachana nae.
Anachokifanya ni kumfuata mvulana ambaye hana mpango wa kumuoa kisa gari kisa fedha anataka kuitwa mpenzi na mambo kuishia kitandani anavuliwa pichu.Haiishii hapo anapofika miaka 23, 24, 25, 26 hali inakuwa hivyo hivyo kwake anajiona hana haja ya kuolewa anaamua kuwa na mpenzi tu, leo huyu kesho huyu na keshokutwa yule.
Siku hazimsubiri miaka 27, 28, 29 na 30 inaingia hapo ndipo anashtuka kwamba kapoteza muda na anatakiwa kuolewa.Hahaha! Mungu sio chizi aliyajua maisha yako ya mbele ndio akakuletea wanaume mbalimbali wa kutaka kukuoa lakini ukakataa kwasababu zisizo na mantiki.
Mwenyewe unaona muda wa wewe kuolewa umefika lakini hauolewi unaanza kuangaika huku na kule kila mwanaume kwako anaonekana kuwa muhimu. Yaani wakati ambao haukuuhitaji ndoa, ndoa ilikuhitaji na wakati ambao unaihitaji ndoa wanaume wana-HIT & ku-RUN.
Kwa mahesabu kama una miaka 30 inakupasa kuolewa na mwanaume mwenye angalau miaka 33 au 35. Je kuna mwanaume mwenye umri huo ambaye yupo tayari kuoa? Mwanaume hataki kuitwa babu na mtoto wake anataka kuitwa baba. Mwanaume anapofikisha umri wa miaka 30 anaweka jiko ndani lenye miaka chini ya 25.
Sasa kama kipindi alichokuwa na miaka 30 ukamkataa, wewe ukiwa na miaka 30 mwenzako ana 35 kashaoa kitambo na kama MUNGU kamjalia ana watoto wawili.Sikulazimishi uolewe ila unapopata mwanaume aliye tayari kukuoa kubali tu, ndoa ni bahati kuna wanawake wanafikisha miaka 40 na bado hawajaolewa na kila siku wanatamani kuolewa.
Unapoipata bahati fanya mambo.Siku zote mwanaume anapokwambia kwamba anataka kukuoa ukaleta pozi weeeeee, akija kwa mara ya pili huyo si muoaji, atakuja akuchezee na kukuacha kwani anajua pia we haupo tayari kwa kuwa alishakupa nafasi ukailetea pozi.
WANAWAKE WAPO MILIONI 29 TANZANIA NA WANAUME MILIONI 25. HALAFU WEWE UNALETA POZI.HAYA, TUTAONA MWISHO WAKE.
Kabisa my dear,kwa nyakati za sasa ndoa isiwe priority...ikitokea sawa lakini sio nguvu zako zote uziweke kwenye kutafuta mume,kamilisha mipango yako,kama ndoa ipo ipo tu huko mbeleniNimekupenda bure my dada!!!!ndoa za sasa ni fashion!!!!pesa kwnz mpnz baadae hutak pita hiviii!!!!
Kwahio umri gani itafaa aolewe,wewe kama baba,na 21 udogo wake ni nini wakati kashapevuka inavyotakiwa,huoni wenzio wanalilia wanawake wawahi kuolewa 21-22 waolewe,ndio nakuuliza wewe ukiwa baba mwanao at 21 utamruhusu simply sababu wanaume ni wachache?Duuh..21 bado mdogo..Btw maamuzi ya kuolewa ni yake..Ninachoweza kufanya ni kumpa ushauri
ouch!too bad it doesn't change any thing...Ai feel sorrry for u...
Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa, mvulana yupo kamili kajiandaa na anamaanisha, msichana anakataa kwa visingizio vya kipumbavu mvulana anaachana nae.
Anachokifanya ni kumfuata mvulana ambaye hana mpango wa kumuoa kisa gari kisa fedha anataka kuitwa mpenzi na mambo kuishia kitandani anavuliwa pichu.Haiishii hapo anapofika miaka 23, 24, 25, 26 hali inakuwa hivyo hivyo kwake anajiona hana haja ya kuolewa anaamua kuwa na mpenzi tu, leo huyu kesho huyu na keshokutwa yule.
Siku hazimsubiri miaka 27, 28, 29 na 30 inaingia hapo ndipo anashtuka kwamba kapoteza muda na anatakiwa kuolewa.Hahaha! Mungu sio chizi aliyajua maisha yako ya mbele ndio akakuletea wanaume mbalimbali wa kutaka kukuoa lakini ukakataa kwasababu zisizo na mantiki.
Mwenyewe unaona muda wa wewe kuolewa umefika lakini hauolewi unaanza kuangaika huku na kule kila mwanaume kwako anaonekana kuwa muhimu. Yaani wakati ambao haukuuhitaji ndoa, ndoa ilikuhitaji na wakati ambao unaihitaji ndoa wanaume wana-HIT & ku-RUN.
Kwa mahesabu kama una miaka 30 inakupasa kuolewa na mwanaume mwenye angalau miaka 33 au 35. Je kuna mwanaume mwenye umri huo ambaye yupo tayari kuoa? Mwanaume hataki kuitwa babu na mtoto wake anataka kuitwa baba. Mwanaume anapofikisha umri wa miaka 30 anaweka jiko ndani lenye miaka chini ya 25.
Sasa kama kipindi alichokuwa na miaka 30 ukamkataa, wewe ukiwa na miaka 30 mwenzako ana 35 kashaoa kitambo na kama MUNGU kamjalia ana watoto wawili.Sikulazimishi uolewe ila unapopata mwanaume aliye tayari kukuoa kubali tu, ndoa ni bahati kuna wanawake wanafikisha miaka 40 na bado hawajaolewa na kila siku wanatamani kuolewa.
Unapoipata bahati fanya mambo.Siku zote mwanaume anapokwambia kwamba anataka kukuoa ukaleta pozi weeeeee, akija kwa mara ya pili huyo si muoaji, atakuja akuchezee na kukuacha kwani anajua pia we haupo tayari kwa kuwa alishakupa nafasi ukailetea pozi.
WANAWAKE WAPO MILIONI 29 TANZANIA NA WANAUME MILIONI 25. HALAFU WEWE UNALETA POZI.HAYA, TUTAONA MWISHO WAKE.
Yako unaringia?