Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Nilikuwa ninasoma kitabu kimoja cha Mmarekani anaitwa Richard Naisbith kinaitwa Megatrends, amefanya utafiti wa kutosha duniani, kagundua kuwa kwa miaka hii wastani wa miaka ya mwanamke kuolewa ni kuanzia miaka 35. Hivyo waache dada zetu waset maisha kwanza. Ili wasiwe magoli kipa wazuri. Wastani wa kuzaa pia uko vizuri watoto wawili.
 
Kuolewa is all about probability.
Saa cjui chances of occurrence zipo ngap.mwanamke ana nafas ndogo sana kufanya maamuz ya kuolewa.wanaume hawana pressure kuoa but wanawake wako under stress bcs of time.bcs mwanaume huwa anafeel secured akiwa na dem alie chin at least 3 years.
Kuna dem aliniambia ana 27 kuja kufatilia kitu 35 nikaretreat kuwen makin mazee.
 
Wewe unaishi wapi sheikh wangu ambapo wanawake wanaringa?huku kwetu ukimtongoza tu msichana cha kwanza anauliza ndoa ipo?mimi nawagonga kwa ahadi ya ndoa tu kisha napita hivi.
 
Kwahio tuolewe hata kama bado hatuko tayari,22 si yupo chuo huyo?eeh bana weee kama mume yupo yupo tu wacha turinge... Panic at your own risk
Wewe bado hujaolewa Hadi leo, basi naomba nafasi...though najua ni msomi wa Masters...lakini katika mapenzi hakuna usomi wala nini....natumaini ombi langu utalifikiria na kulipa uzito unao stahiki... I LOVE YOU ...brenda18.
 
Kila mtu anacho anachotaka maishani.

Kuna watu hawawezi kuwaza beyond ndoa.

Wengine wanataka watoto tu so sperm donor yoyote atakayejitokeza haya.

Wengine wanawaza harusi tu.

Wengine hawana maisha. Hawana hobbies. Hawana plans zozote. Hawana mahusiano ya ukaribu na marafiki/ndugu. So they're miserable and lonely.

Wengine wanataka kupata status kwenye jamii, ingawa humo ndani hali wanaijua wenyewe.

Mimi nataka amani ya akili a furaha moyoni.

Nataka niwe na mtu ninayempenda naye ananipenda.
Na Unless hiyo ndoa haitohusisha sex, siwezi kulala na mtu simpendi. Hiyo ni starehe kwangu... Nafikaje fikaje wakati hunivutii!!!

Kama unanipenda unanipenda tu hata niwe na 40. Ukiniona kibibi, pita hivi, I got other plans.
 
Housegirl aibuka katika ubora wake!....... But the miserable mistake you can ever make in your life is to start to love a man,just do it and you will remember me over and over again!!!
 
Ina maana wasichana wote wenye 22 wapo chuo?mbona umekariri hivyo?
Hivi unajua kusoma kweli na ukaelewa unachosoma?ni wewe pekee umeelewa tofauti na wengine,punguza kukurupuka soma na uelewe na ujibu unapobidi,mengine yakupite kama hivi....ficha papara zako za kujibu
 
Wewe bado hujaolewa Hadi leo, basi naomba nafasi...though najua ni msomi wa Masters...lakini katika mapenzi hakuna usomi wala nini....natumaini ombi langu utalifikiria na kulipa uzito unao stahiki... I LOVE YOU ...brenda18.
Bado sijaolewa hadi leo?muone kama unanijua vile....nimesema bado nipo kwenye kuchagua miaka saba badae ntalifikiria hilo,utasubiri?
 
Housegirl aibuka katika ubora wake!....... But the miserable mistake you can ever make in your life is to start to love a man,just do it and you will remember me over and over again!!!
I've always wanted someone to prove to me if one can really learn to love. Especially wale wahindi wanaoozeshwa wakiwa wadogo.

You can get used to someone. But love?

So unasemaje, niolewe tu nitampendea huko huko?
 
Hivi unajua kusoma kweli na ukaelewa unachosoma?ni wewe pekee umeelewa tofauti na wengine,punguza kukurupuka soma na uelewe na ujibu unapobidi,mengine yakupite kama hivi....ficha papara zako za kujibu
Wewe ungekuwa na akili usinge andika uliyoyaandika.halafu inaonekana dhahiri mada imekulenga vilivyo.ndo nyie mnazeekea nyumbani na kuzalishwa tu.
 
Back
Top Bottom