PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,293
I guess animals are loyal compared to men. .. but I prefer loving meI think you need an animal...
I guess animals are loyal compared to men. .. but I prefer loving meI think you need an animal...
Haha,simjui huyu mtu mkuu...mbwe mbwe tu hizoTehee kumbe mnajuana..
Mwanamke unatakiwa utulie upendwe halafu wewe ndo upende, Mwanaume ukianza kumpenda huwa yanatokea yafuatayo:I've always wanted someone to prove to me if one can really learn to love. Especially wale wahindi wanaoozeshwa wakiwa wadogo.
You can get used to someone. But love?
So unasemaje, niolewe tu nitampendea huko huko?
Teh..uolewe sasa..Unataka mpaka home wakutimue kwa masimango ehhe?
Si lazima ni hiari ndo mana nyumba ndogo zinaruhusiwa ila kama ni mwanamke ukifika miaka 30's ndo utaanza mdogomdogo kujua umuhimu wa ndoaHvi kwani kuolewa ni lazima? Ni swali tu......
I thnk its some1nz personal decision. Mfano mi nataka mtoto tu basi.... mwanangu.... kazi yangu.... maisha yangu na biashara zangu. Kwangu sioni ulazima na wala sioni kwamba bila mume i will be any less of a woman. Ndio kuna wanaokutana na a different situation ila its 2016 i thnk ppo should have an open mind.Si lazima ni hiari ndo mana nyumba ndogo zinaruhusiwa ila kama ni mwanamke ukifika miaka 30's ndo utaanza mdogomdogo kujua umuhimu wa ndoa
I guess a Dog is a kind of animals which is loyal..I guess animals are loyal compared to men. .. but I prefer loving me
OkayI guess a Dog is a kind of animals which is loyal..
kuna mmoja nilikua nae anamiaka 24 akawa ni full malingo ukitoka nae anataka vijiwe vikubwa nikimwambia suala la maisha ananiambia bado muda nikaona uyu atanipa shiba nikatafuta mwingine tukaoana na nna mtoto cha ajabu baada ya miaka minne nimeonana nae nikamuuliza kulikoni maisha akajibu nae ana mtoto ila ajaolewa na sasa ana 28 nikamwambia poa ndio maisha ataolewa ipo sikumkuu hawa wa sasa ivi hata 25 anajiona bado mtoto
Teh teh umebadilisha mawazo huyo mwanao si ulisema umri unavyokwenda ndio anazidi kuwa kigoli kwamba hata akiwa na miaka 60 poa tu ,Umri ukienda wanaanza kuishi kwa matumaini..Wakienda kwenye harusi wanagombaniana maua kwa vikumbo teh
Heaven Sent mwaka huu ukiisha haujaleta mtu,nakuozesha kwa yeyote yule
Ila rafiki bora usiolewe lakini mgegedo upate ila usitucchukie si wanaume mana mwisho wa siku tunasaidiana kupunguza nyege na maisha yanasonga huku kila mtu akifanya yake.Okay
OK at first nilifikiri wewe ni tofauti na wanaume wa KIBONGO kumbe ndo walewale.Mwanamke unatakiwa utulie upendwe halafu wewe ndo upende, Mwanaume ukianza kumpenda huwa yanatokea yafuatayo:
1)Hata uwe mzuri kiasi gani au uwe na tabia njema kiasi gani atakukubalia haraka haraka ila moyoni anakuwa anakuzarau sana so anakutumia kwa madharau excessively then anakudump, anaweza hata akataka tigo!!!
2)Ukianza kumpenda mwanaume huwa anachukulia kuwa unajipendekeza na ni dharau!
3)Mwanaume hata umpendeje kama hakupendi hawezi kubadilika akupende kamwe na ataishia kuchepuka!
Niko neutral, siwachukii na siwezi sema nawapenda. Mko kawaida kwanguIla rafiki bora usiolewe lakini mgegedo upate ila usitucchukie si wanaume mana mwisho wa siku tunasaidiana kupunguza nyege na maisha yanasonga huku kila mtu akifanya yake.
Mtu anataka kukuoa wakati uko chuo. Unamuuliza nitaishije Sina pesa? Aaaahhh wasi wasi wa nini kila kitu utapata.Kla mwanamke anaolewa anapoamua haimaanish kisa wanaume wapo wachache bas atakaekuja tu niseme yes...mm naamini kua km ipo ipo mungu anatuepusha na mengi...wanawake wa kileo tafuten maendeleo yenu kwanza ndipo mtafute ndoa ss dada zenu tulioolewa hatuna ktu tunajutaaa...
Sorry, hayo siyo mawazo yangu bali ni psychological facts za wanaume ambazo zilijulikana baada ya tafiti kufanyika kwa mda mrefu, siyo mawazo yangu bali ni vitabu vinasema hivyo na vitabu hivyo vimetokana na tafti!!!...... Mwanamke anaweza kupendwa akakataa ila mda unavyozidi kwenda akaingia kingi taratibu na hatimae akapenda mazima tofauti na wanaume! (pia hayo siyo mawazo yangu bali ni findings za research)OK at first nilifikiri wewe ni tofauti na wanaume wa KIBONGO kumbe ndo walewale.
Hayo ya utulie upendwe NI ujinga. . Hata mwanamke anapenda sio mpaka ajifunze kupenda.
Hayo ya kudharauliwa na mwanaume kisa anaona unampenda NI USWAHILI. Sitaki mwanaume mwenye mawazo ya Kiswahili swahili.
Hayo ya kutumiwa na kudump hata wanawake hutumia wanaume na kuwaacha either kwa ajili ya pesa au starehe.
Kama Kuna mwanamke "alitumiwa" na mwanaume aliyemdharau kisa anampenda basi Pole yake.
naamini kama mtu hakupendi utaona dalili. Out of desperation unaweza usione.
Hata mwanamke kama hakupendi hakupendi tu hata umbembeleze vipi. Kwani hatubembelezwi Huku? Kwani hatujawahi "kujaribu kupenda" watu tukaishia kubwaga manyanga manake hata akikuHug unaona KERO.
Watu wanataka kufanya hisia za mwanamke kuwa inferior. Poleni. Na sie tunapenda na kama hupendwi hupendwi tu.
Acha kbsa my dear yan simshauri mtu aolewe kisa umri unaenda olewa when u ar ready and well established wanaume siku hz cyo wale wa zaman wanakwepa majukum siku iz..atajfanya ntakutunza ngoja akuweke ndan sasaMtu anataka kukuoa wakati uko chuo. Unamuuliza nitaishije Sina pesa? Aaaahhh wasi wasi wa nini kila kitu utapata.
Mimi huku nawaza huo utemi nitakaoletewa kisa nalishwa.
Kati ya vitu nilijua sitokuja kufanya maishani ni kuwa housewife. Yani hata ningekaa nyumbani nijue nina vitega uchumi vyenye Jina Langu.
By the way Pole, lol.
Teh teh..Nilikuwa namtania..Ila naona kaichukulia seriousTeh teh umebadilisha mawazo huyo mwanao si ulisema umri unavyokwenda ndio anazidi kuwa kigoli kwamba hata akiwa na miaka 60 poa tu ,
Daah,umetushusha sana yani tupo kawaida?Niko neutral, siwachukii na siwezi sema nawapenda. Mko kawaida kwangu