Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Hawawezi kukujibu hilo,watajikanyaga sasahivi watahamia kwenye bilble,mara ni muhimu....sasahivi atatokea mtu atajibu hivyo....huwa sielewi maisha ya mwingine yamsumbuaje mtu,kila mtu ana priorities zake na maamuzi yake,wao wanaona ndoa ndio kila kitu well and good waendelee kuenjoy,meanwhile wengine tuendelee na maisha
Bible hairuhusu mwanaume kuchepuka ila ni nature ya mwanaume yoyote yule japo katika uchepukaji tunatofautiana wengine kwa kificho na wengine kwa kujiachia na hi isikufanye wewe ukate tamaa ya kuolewa
 
Mimi sipendi mtu aniquote akiwa amekurupuka,ni bora upite kimya kimya....wapi nimesema nimekata tamaa?hebu soma vizuri comments zangu....labda nirudie tena,nimesema bado nipo nipo ikifika wakati nipo tayari ntaolewa kama nilipangiwa kuolewa kupo tu,lakini msitupangie mda wa kuolewa kama mleta mada anavyosema hapa
 
Kwahio umri gani itafaa aolewe,wewe kama baba,na 21 udogo wake ni nini wakati kashapevuka inavyotakiwa,huoni wenzio wanalilia wanawake wawahi kuolewa 21-22 waolewe,ndio nakuuliza wewe ukiwa baba mwanao at 21 utamruhusu simply sababu wanaume ni wachache?
Miaka 21 sijui hata kama chuo kamaliza..siozi mwanafunzi(degree kushuka chini)..Hapo maamuzi ni yangu..Ila baada ya hapo naweza kumwacha ajimwayemwaye..Sitamlazimisha mtu kuolewa..Ila nikiona giza linaingia bado yupoyupo tu naweza kuhoji..Uenda anahitaji msaada
 
Umejibu vizuri sana,sasa iweje mnashupaa na watoto wa wenzenu au mmesahau na nyie wenu wanakua soon?
 
We ukijiskia una huruma sana na waona mtu haoi au kuolewa basi mpe huyo mumeo au mkeo awe mwenza wake halafu we kamtafute mwingine
 
Napenda kuolewa yes but uwepo wa wanaume wachache si sababu ya Mimi kumkubali mtu kisa tu kani offer ndoa au nimkubali sababu naona umri unaenda au nikimkataa ntakosa wengine ati najitia nuksi oooh hapana kwakweli kama ipo ipo tu kama kuolewa ntaolewa wakati wangu ukifika siwezi kujilazimisha mwisho wa siku niangukie pua vikao vya usuluhishi viniandame kila siku.
BTW si kila mwanaume anayekutangazia ndoa ndio mwenye upendo wa dhati kwako.
 
Huyo mwandishi wako na wewe mwenyewe ninwaongo, hiyo siyo USA, halafu sio kila kitabu ni cha kusoma.
 
Umejibu vizuri sana,sasa iweje mnashupaa na watoto wa wenzenu au mmesahau na nyie wenu wanakua soon?
Hatuwashupalii..Sema tunawakumbusha mjitathimini upya..Vigezo ulivyoviweka sasa baada ya miaka kadhaa utavisimamia hivyo hivyo?..Utakuta mtu analeta nyodo kwa wanaume ukimuuliza sababu jibu atakalokupa utabaki unashangaa..Halafu keshokutwa mtu anaanza kujihisi ana mkosi kisa haolewi..Anasahau nafasi alizozichezea huko nyuma
 
Hapo pagumu aisee hata mimi si afiki.

Lakini tatizo inaweza kuwa humpendi.lkn.mbona badae mda ukishaenda ndio unarudi tena ooh ule.ulikuwa utoto!! Nadhani mleta thread ame raise hii concern pia
 
Mimi sio mhanga Nina life yangu na sina mpango wa kuoa coz sio lazima. And nobody has right to tell me what to do in my life.
Why watu wakishaingia kwenye NDOA ghafla wanakuwa specialist wa wa NDOA!? Halafu ghafla wanakuja na Uzi ooh huyu mwanamke nimeshindwa au huyu mwanaume hyu simuwezi. Tulieni kwenye NDOA zenu mfanye yenu mshughulike na shida zenu huko
Mara utasikia wanalalamika humu, "mke wangu anajamba sana nimeshindwa!! "
 
Kwani mwanamke lazima aolewe akiwa na umri mdogo kuliko mumewe? waacheni wanawake wajipange na maisha ndiyo waolewe mwanaume anaweza akaumwa, akapata ajari, akafukuzwa kazi au akafa familia itaishije kama inamtegemea mtu mmoja. Kuwaza ndoa za zamani kwenye maisha ya leo ni akiri finyu lazima mwanamke ajipange sawa na mwanaume ili wajenge familia

Mleta mada anasema kuolewa ni bahati, sio kweli. mwanamke mwenye akiri na hekima ni yule mwenye malengo na mipango juu ya maisha yake. Ndoa hupangwa na inapangwa kwasababu inamajukumu sio yale mambo ya zamani kuwa mwanamke akiolewa anaenda kusubiri mume alete yeye apike. Mwanamke lazima ajipange kiuchumi kwanza. Sasa chini ya miaka 25 kajipanga lini? Au ndiyo zile ndoa za ugoli kipa zimepitwa na wakati hizo bro.

Tungepata wanaume 50 wenye mawazo kama yako!!!

Hakika Dunia yetu ingekua mahali salama sana.
 
Miaka 22 kushuka chini akaolewe,
Huyo ni mtoto jamani,
Mtoto aenjoy utoto wake, kisa cha kwenda kumpa majukumu mazito ya ndoa!

Ndio mana wakijafika miaka 30 au 35 wanacharuka, maana kuna kipindi cha kuenjoy ujana wao walikivuka,

Asikwambie mtu, ndoa za utotoni zinaumiza,
Zinadumaza akili ya binti,
Kiufupi hazipendezi.

Kuolewa/kuoa ni wajibu wa kila binaadamu, ila hakuna muda muafaka wa lini mtu anapaswa kua kwny ndoa,
UKIJIONA NOW YOUR READY, unajitumbukiza,

Hahahaha hv mshawahi kuwaza?
Uingie kwenye ndoa ukiwa na miaka 20,
Maisha ya kuishi hapa duniani tuseme miaka 70,
So miaka 50 yote upo na mtu tu, oooh please!! Si mtafanana jamani.
Teh teh teh teh,

Ooh another thing, wewe mwanaume huwez kuoa mzee (mwanamke wa miaka 30 au 40)
Wadogo zenu wa kiume wa miaka 20 watakuja kuwaoa,

SO CALM DOWN GUYS.
 
Shape wanazo,sura,kuvaa wanajua ila hawafai kuweka ndani! mtaingia mikenge bure watawasumbua haoooo washazeeeka!
 
Mimi sipendi mtu aniquote akiwa amekurupuka,ni bora upite kimya kimya....wapi nimesema nimekata tamaa?hebu soma vizuri comments zangu....labda nirudie tena,nimesema bado nipo nipo ikifika wakati nipo tayari ntaolewa kama nilipangiwa kuolewa kupo tu,lakini msitupangie mda wa kuolewa kama mleta mada anavyosema hapa
Sema labda kama umepanic ila sijamaanisha wewe.. ila hiyo wewe imetumika kwa vile unawakilisha kundi la wanawake na huu ni mjadala tu mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi yake
 
Sema labda kama umepanic ila sijamaanisha wewe.. ila hiyo wewe imetumika kwa vile unawakilisha kundi la wanawake na huu ni mjadala tu mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi yake
teh,usijikanyage,ungeweza kueleza toka mwanzo ungetumia hata mfano wa Dada yako,mimi nikipanic huwa sichangii mada napita mbaliii...
 
Hatuwashupalii..Sema tunawakumbusha mjitathimini upya..Vigezo ulivyoviweka sasa baada ya miaka kadhaa utavisimamia hivyo hivyo?..Utakuta mtu analeta nyodo kwa wanaume ukimuuliza sababu jibu atakalokupa utabaki unashangaa..Halafu keshokutwa mtu anaanza kujihisi ana mkosi kisa haolewi..Anasahau nafasi alizozichezea huko nyuma
Mnatukumbusha tujitathmini nyiee kama kina nanii katika maisha yetu,teh mbona mmeshupaa hivyo..wewe una mambo mengi ya kujikumbusha mwenyewe, sumbuka na yako...
 
Back
Top Bottom