Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

Kwahio tuolewe hata kama bado hatuko tayari,22 si yupo chuo huyo?eeh bana weee kama mume yupo yupo tu wacha turinge... Panic at your own risk
Na mkifika 30+ mnaanza kushinda kwwenye matunguli kwa waganga muolewe mpaka mnaishia kulala na vibabu wa tunguli
 
Msiwape watu stress, kama hajakupenda basi kubali haujapendwa...sio sababu una ahaidi ndoa ndo ajilazimishe kuolewa na wewe. Unajuaje na huyo mwingine hajamwambia anataka kumuoa kama wewe unavyosema.
They will marry when and who they want.
Hizi topic mkawaambie dada zenu nadhani ndo hawana haki ya kupenda au kuchagua wanachopenda.
ni wapi nimesema ni mimi ndie nataka kumuoa..? acha vijana wa dona waendelee ku-hit na ku-run
 
Na mkifika 30+ mnaanza kushinda kwwenye matunguli kwa waganga muolewe mpaka mnaishia kulala na vibabu wa tunguli
Teh,nna kama miaka saba hivi ya kuringa bado....kama hueleweki sikupendi kwanini nisikukatae....mtuwache tafadhali ni maamuzi yetu,wewe unasumbuka na nini?
 
Ukweli unauma ila kwa umri wa miaka 22 nadhani wengi wanakuwa wako chuo n.k. umri mzuri wa mwanamke kuolewa ni miaka 24 mpaka 25 hapo unakuta wengi hata kazi wameshaanza, kwa huyo wa miaka 22 kama hana anachofanya labda aliishia masomo katikati halafu analeta pozi hii mada inamuhusu sana, kiukweli wanawake tunajisahau mno halafu ikifka miaka 30 ndo unaona tunaanza kuwaibiwa wenzetu waume zao na kuzaa nao, kwa kisingizio cha kuogoa kuzeeka bila mtoto yani, haya ni makosa yetu sisi inabidi tulee watoto katika misingi ya kumuogopa Mungu na tutaepukana na figisufigisu hizi, wengi hawaogopi uwepo wa Mungu.
 
ni wapi nimesema ni mimi ndie nataka kumuoa..? acha vijana wa dona waendelee ku-hit na ku-run
Unaonekana unaumwa roho sasa unajitia moyo kwamba poa tu atakuja kujuta kukukataa.
Kubali tu, kila mtu anacho anachokipenda hata kama kibaya cha kuhit n run lakini ndo moyo wake ulimpenda huyo.
 
Kuna single mamy hapa najisavia tuu kila napotaka ila anataman sana kuolewa anasema umri unaenda siolewi tu enz za 20's alikataa kuolewa na weng sasa kajikuta kazaa na mume ya mutu mjifunze bhana
 
Ukweli unauma ila kwa umri wa miaka 22 nadhani wengi wanakuwa wako chuo n.k. umri mzuri wa mwanamke kuolewa ni miaka 24 mpaka 25 hapo unakuta wengi hata kazi wameshaanza, kwa huyo wa miaka 22 kama hana anachofanya labda aliishia masomo katikati halafu analeta pozi hii mada inamuhusu sana, kiukweli wanawake tunajisahau mno halafu ikifka miaka 30 ndo unaona tunaanza kuwaibiwa wenzetu waume zao na kuzaa nao, kwa kisingizio cha kuogoa kuzeeka bila mtoto yani, haya ni makosa yetu sisi inabidi tulee watoto katika misingi ya kumuogopa Mungu na tutaepukana na figisufigisu hizi, wengi hawaogopi uwepo wa Mungu.
umenena vema sana madam.
 
Unaonekana unaumwa roho sasa unajitia moyo kwamba poa tu atakuja kujuta kukukataa.
Kubali tu, kila mtu anacho anachokipenda hata kama kibaya cha kuhit n run lakini ndo moyo wake ulimpenda huyo.
unapenda ligi sana, watu tunawaona huku mtaani na kuna mzee wangu mmoja hivi pale Mapinga anapokea wanawake wengi wote wana malalamiko ya kutaka ndoa wanasema walicheza vibaya ujanani na wengi wao ni 30+.
 
So huko kwa mzee ndo mmeitunga hii thread, okay.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 siri ya kucheka ni kwamba unapunguza stress,
But ukweli ni huu hapa..............THERE ARE NO RIGHT TIME TO DO SOMETHING, THE BEST THING WERE DONE IN WRONG TIME.............................
SO msisubiri muda sahihi, haupo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Vitu vizuri vyote vilifanyika wakati wa shida.................
Ndiyo mkubali akina dada, kama ukimpata mwenye direction olewa,... nina experience na hii kitu.....................
Muda hausubiri,
Mwanaume anavyozidi kufanikiwa/kukua Idadi ya wanawake wanaomtaka inaongezeka, wakati Msichana ni Vice versa.........
Nyie si Mnajua watoto wote siku hizi ni warembo.
 
Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa, mvulana yupo kamili kajiandaa na anamaanisha, msichana anakataa kwa visingizio vya kipumbavu mvulana anaachana nae.

Anachokifanya ni kumfuata mvulana ambaye hana mpango wa kumuoa kisa gari kisa fedha anataka kuitwa mpenzi na mambo kuishia kitandani anavuliwa pichu.Haiishii hapo anapofika miaka 23, 24, 25, 26 hali inakuwa hivyo hivyo kwake anajiona hana haja ya kuolewa anaamua kuwa na mpenzi tu, leo huyu kesho huyu na keshokutwa yule.

Siku hazimsubiri miaka 27, 28, 29 na 30 inaingia hapo ndipo anashtuka kwamba kapoteza muda na anatakiwa kuolewa.Hahaha! Mungu sio chizi aliyajua maisha yako ya mbele ndio akakuletea wanaume mbalimbali wa kutaka kukuoa lakini ukakataa kwasababu zisizo na mantiki.

Mwenyewe unaona muda wa wewe kuolewa umefika lakini hauolewi unaanza kuangaika huku na kule kila mwanaume kwako anaonekana kuwa muhimu. Yaani wakati ambao haukuuhitaji ndoa, ndoa ilikuhitaji na wakati ambao unaihitaji ndoa wanaume wana-HIT & ku-RUN.

Kwa mahesabu kama una miaka 30 inakupasa kuolewa na mwanaume mwenye angalau miaka 33 au 35. Je kuna mwanaume mwenye umri huo ambaye yupo tayari kuoa? Mwanaume hataki kuitwa babu na mtoto wake anataka kuitwa baba. Mwanaume anapofikisha umri wa miaka 30 anaweka jiko ndani lenye miaka chini ya 25.

Sasa kama kipindi alichokuwa na miaka 30 ukamkataa, wewe ukiwa na miaka 30 mwenzako ana 35 kashaoa kitambo na kama MUNGU kamjalia ana watoto wawili.Sikulazimishi uolewe ila unapopata mwanaume aliye tayari kukuoa kubali tu, ndoa ni bahati kuna wanawake wanafikisha miaka 40 na bado hawajaolewa na kila siku wanatamani kuolewa.

Unapoipata bahati fanya mambo.Siku zote mwanaume anapokwambia kwamba anataka kukuoa ukaleta pozi weeeeee, akija kwa mara ya pili huyo si muoaji, atakuja akuchezee na kukuacha kwani anajua pia we haupo tayari kwa kuwa alishakupa nafasi ukailetea pozi.

WANAWAKE WAPO MILIONI 29 TANZANIA NA WANAUME MILIONI 25. HALAFU WEWE UNALETA POZI.HAYA, TUTAONA MWISHO WAKE.
Mfyuu
 
shida ni wanaume hawaishi muda mrefu so wanawake wanakuwa wengi coz mnahesabumpk vibibi
kwenye lile tendo linalofanywa na wanyama wote dunian..baba akifika nchani huwa anatabia ya kutumwaga na ghafla tunaanza kuukimbiza mwenge...wale wenye jinsia yenu huwa wanakimbia kupita maelezo na ndio maana mpo wengi dunian kulike ME....

future ni leo sasa wewe ngoja kesho alaf uone
 
Wakishapigwa pumpu za kutosha kwa style ya Hit and Run, utakuta wanalalama mtaani eti wanaume wenyewe wa kuoa wako wapi?? Wanaume wote bababa yao na mama yao mmoja.

Tulia umeyataka mwenyewe watu na miti yao.

Binafsi huwa sitongozi wala kuanza mahusiano na mschana anaye wasema wanaume vibaya, coz najua kuna kitu alishafanyiwa kwa ujinga wake.
 
Back
Top Bottom