Acha propagandaKwahiyo siku hizi mnanitag pamoja na emoji zangu? 😹😹
Huyo mgonjwa kwa sasa muacheni anywe maji ana dose..!!
Wee kurushwa na boda unafikiri mchezo? 😹
Sina maisha nimekufa bwashee 😅😅
[/QUkwahiyo mitungi umeacha
Vyombo ya matairi mawili havichekeshi 😹Acha propaganda
Sema asiione hiyo comment yangu 😁Hahaha 😅😅😅
Mzee mwenzangu mi nazidi tu kuwashangaa nikisoma na comment naishia kusema tu wagoshaaaaa.Stress za kujitakia
View attachment 3694790
Huwa mnadanganyana sana na hayo mambo yenu ya unconditional love.
Sielewi mtu unaanzaje kuzaa mtoto zaidi ya mmoja na kapuku!
Cc: leo dada
Sitokunywa pombe TenaYupo kwenye dose kwa muda baada ya ajali, akipona atawajoin hana jeuri ya kuacha pombe 😹
Upotoshaji sio jambo zuriVyombo ya matairi mawili havichekeshi 😹
Sisi waafrika tunajuana ni vile tu kuna baadhi ya wanajinsia wameamua kujitoa ufahamu.Kabisa , hapo ndipo lilipo suluhisho kuu, sema nao vijana wa kiume kuna namna wanapaswa kufundishwa kuishi na wanawake wanaojitambua hasa kwetu afrika
Kwa nini bwashee 😁Bwashee nyie wababe sna jf😁
So nasty mzee😂 utasikia nakufanya nini bebi 🙌🏽Kipepeo anasema nakunya nakunya 🙌
Wanawake watu wabaya sana mkuu 😂Nasty nasty 😂 utasikia nakufanya nini bebi 🙌🏽
Kabisa na ndiomaana unaambiwa usishindane na mwanamke hao viumbe ni level nyingine bwa sheeWao hawajioni kama ni waathirika wa mengi kati ya hayo uliyoyataja mkuu. Ndo maana hawatupigi risasi za vichwa au kutuua kwa mashoka tunapowatelekeza. Women handle stress better than us.
Dah kwahiyo kapuku hasitahili kuitwa baba😀?Maskini ambaye maisha yake kiuchumi ni ya kuunga unga na hana kipato cha kueleweka.