Hivi unajua kuwa asilimia kubwa ya jamii inamu-admire mwanaume ambae ana tabia ya kulala na wanawake wengi, na pia ukiuliza wadada wengi kuwa wakiwa wanaume kwa muda flani watafanya nini, wengi wao watajibu kuwa wata-sex na wanawake wengi..Mwili wa mwanaume hata sio wa thamani, sababu wanaume wengi wanalala na kila mtu.
Kama huamini jiulize kwanini series ya "the polygamist " imekua maarufu worldwide, moja ya sababu ni kua somehow society inamkubali mwanaume mwenye uwezo wa kulala na wanawake wengi ingawa kwa nje watamponda kiasi binti kiziwi