secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,687
- 50,286
Tukishalewa mbege humu tunakuwa tu wababe😂Mna maua yenu😁😁
Tukishalewa mbege humu tunakuwa tu wababe😂Mna maua yenu😁😁
Yani, bhanu bale bhatumbafu nho 🤦🏾♀️Mzee mwenzangu mi nazidi tu kuwashangaa nikisoma na comment naishia kusema tu wagoshaaaaa.
Bebi wa zamani naomba unifundishe kingosha.Yani, bhanu bale bhatumbafu nho 🤦🏾♀️
Hastahili kabisa 💯Dah kwahiyo kapuku hasitahili kuitwa baba😀?
Wanasema watoto ni baraka kila mtoto anakuja na sahani yake kwahiyo wacha makakupu wazae.Hastahili kabisa 💯
Wewe umeshindwa kujimudu mwenyewe, kwanini uongeze kiumbe mwingine ambaye hutamudu mahitaji yake?
Bustaa hizo mkuu😎Hahaha wataaa😁😁 , kwa chudai umetisha sna
Na nyuzi zipo kibao humu 😅Wanalia lia wanaume wasiojitambua!!😂🤣
Siwajui ila huwa naona nyuzi zao tu huenda ni kweli mkuu..Hapa unawazungumzia wanaume dhaifu bila shaka
Mbona wew ulizaliwa..?au wazee wako ni watu wa dini?Tatizo ni umasikini zaidi,
Halafu kwani mimba na kuzaa ni kuathirika? Watu wa dini si wanasema wamepewa maagizo kuzaa kuijaza Dunia! Wakizaa inabidi wafurahi kutimiza maagizo
Wakiongozwa na yule natafuta ajira na Robert mtibel sjui bellring kutwa kutoa vilio itakuwa wanawake waliwafyatua nati km loose Nut marrrrrraaaangu babanguuuuNa nyuzi zipo kibao humu 😅
Wakiongozwa na yule natafuta ajira na Robert mtibel sjui bellring kutwa kutoa vilio itakuwa wanawake waliwafyatua nati km loose Nut marrrrrraaaangu babanguuuu
Vip babanguu me natania tuu tunasubiri nyuzi tukae mkao wa kujenga hoja Seran ShesRise_1 binti kiziwi Binti wa zamani aanze na kisa kipi 😅😆Ukionyesha andiko langu lolote nililolilia mapenzi nakuahidi kukupa shiling 50K
Bwashwee una akili sana. Nilikuwa sijaona huu uzi.Naunga mkono wanawake wanaothaminisha penzi na hela au vitu vya thamani.
Just imagine unapita na binti halafu stress za mimba ni zake , stress za kuonjwa na kuachwa ni zake , stress za kususiwa mtoto ni zake , za kuwa single maza ni zake , za kukataliwa kuolewa kisa ni singo maza ni zake 🤔
Bado stress za kuzaa jambazi kama baba yake ni zake , bado za uzazi na homa za asubuhi, bado kufanyiwa operation, bado kufa kwa uzazi 🤔
Tena wanawake ambao hawataki hela na vitu vya thamani ili kugawa penzi nawaona madunya na mababazi mno.
NB , Haya maisha usipo yaangalia kwa jicho pana, utabaki kulia na kuonekana dunya na babazi kwa watu wenye akili timamu.
😀😀😀 Tulimmiss jamaa etu, aliendaga wapi kwani?Vip babanguu me natania tuu tunasubiri nyuzi tukae mkao wa kujenga hoja Seran ShesRise_1 binti kiziwi Binti wa zamani aanze na kisa kipi 😅😆