Outlaw 005
Member
- Aug 21, 2025
- 44
- 60
Cha ajabu wanao ongoza kwa kulialia ni wanaume!
Wanalia lia wanaume wasiojitambua!!😂🤣
Cha ajabu wanao ongoza kwa kulialia ni wanaume!
Kwani yote hayo lazima?Naunga mkono wanawake wanaothaminisha penzi na hela au vitu vya thamani.
Just imagine unapita na binti halafu stress za mimba ni zake , stress za kuonjwa na kuachwa ni zake , stress za kususiwa mtoto ni zake , za kuwa single maza ni zake , za kukataliwa kuolewa kisa ni singo maza ni zake 🤔
Bado stress za kuzaa jambazi kama baba yake ni zake , bado za uzazi na homa za asubuhi, bado kufanyiwa operation, bado kufa kwa uzazi 🤔
Tena wanawake ambao hawataki hela na vitu vya thamani ili kugawa penzi nawaona madunya na mababazi mno.
NB , Haya maisha usipo yaangalia kwa jicho pana, utabaki kulia na kuonekana dunya na babazi kwa watu wenye akili timamu.
mpaka mwanamke anaachiwa mimba ujue sababu ni nyingi.. either ni kicheche mapepe hajatuliaSahihi bwashee. Wanaume wengi ni wahuni, wakipachika mimba wanatokomea.
Sahihi bwashee. Wanaume wengi ni wahuni, wakipachika mimba wanatokomea.
Nikisema hela ya sabuni ni mjumuisho wa hela yote ya matumizi,Sabuni hapana, mahitaji ya Wanawake ni zaidi ya sabuni
Wanaume wengi sana tunajua hili. Tatizo wanakaza tu vichwa. Mwamba ngozi huvuta awake.Huw kuna namna tunasapotiana sana ujinga ila penye ukweli tuseme , options ya hela imekuaja baada ya sisi kuwa wahuni wahuni tu
Hahaha kabisa , binafsi mimi ni kibaka tu, na kuliko nimdanganye mwanamke bora niseme ukweli au nimwache kwa siri , mwanamke akishakutunuku tunda kakuamini mnoWanaume wengi sana tunajua hili. Tatizo wanakaza tu vichwa. Mwamba ngozi huvuta awake.
Sahihi, lakini tunza hiyo damu yako iliyo tumboni mwake, au sivyo?mpaka mwanamke anaachiwa mimba ujue sababu ni nyingi.. either ni kicheche mapepe hajatulia
hakuna mwanaume anaekataa damu yake mkali.
Wape wanawake uwezo wa elimu na uchumi, mengine wataamua wenyewe.Yote sio lazima bwashee, ila kuna uungwana wa kibinadamu tu
Nadhani kila mtu ana sababu zake.Kwan kuwa hatuwaamin
YesSahihi, lakini tunza hiyo damu yako iliyo tumboni mwake, au sivyo?
Stress za kujitakiaNaunga mkono wanawake wanaothaminisha penzi na hela au vitu vya thamani.
Just imagine unapita na binti halafu stress za mimba ni zake , stress za kuonjwa na kuachwa ni zake , stress za kususiwa mtoto ni zake , za kuwa single maza ni zake , za kukataliwa kuolewa kisa ni singo maza ni zake 🤔
Bado stress za kuzaa jambazi kama baba yake ni zake , bado za uzazi na homa za asubuhi, bado kufanyiwa operation, bado kufa kwa uzazi 🤔
Tena wanawake ambao hawataki hela na vitu vya thamani ili kugawa penzi nawaona madunya na mababazi mno.
NB , Haya maisha usipo yaangalia kwa jicho pana, utabaki kulia na kuonekana dunya na babazi kwa watu wenye akili timamu.
😃😃😃😃😃😃Ile kauli yangu na ya Dr. Remmy Ongala ya kwamba 'WEMA NI KUMANYOKO', hapa ndipo inaponza kuwa na mashiko.