min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,254
- 177,426
Naunga mkono wanawake wanaothaminisha penzi na hela au vitu vya thamani.
Just imagine unapita na binti halafu stress za mimba ni zake , stress za kuonjwa na kuachwa ni zake , stress za kususiwa mtoto ni zake , za kuwa single maza ni zake , za kukataliwa kuolewa kisa ni singo maza ni zake 🤔
Bado stress za kuzaa jambazi kama baba yake ni zake , bado za uzazi na homa za asubuhi, bado kufanyiwa operation, bado kufa kwa uzazi 🤔
Tena wanawake ambao hawataki hela na vitu vya thamani ili kugawa penzi nawaona madunya na mababazi mno.
NB , Haya maisha usipo yaangalia kwa jicho pana, utabaki kulia na kuonekana dunya na babazi kwa watu wenye akili timamu.