Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Nimeacha pombe jomba

Niko kwenye county down ya free from alcohol.
Jakuwa napata Kiu ila sirudu nyuma 😁
Hiyo mbinu unayotumia kuacha pombe wala haifai na haipendezi, ati unakaa mbali na pombe! 😁

Nijuavyo mimi, kuacha pombe siyo kukaa nayo mbali, bali ni kusema, "naacha pomba", halafu kila siku unatembea nayo kwenye mfuko wa koti kwa siku 21 bila kuinywa.

Usilikimbie tatizo, likabili ndipo utalishinda.
 
Hahaha Red black baada ya kubinuka na bajaji huko kibaigwa kwa inavyosemekana lakini 😃 inahisiwa kaacha pombe ,Lamomy atatupa taarifa zaidi🤔
Kilichoniuma ni kwamba aliyekuwa anandesha ile bodaboda ni mchungaji aliyemshawishi aache pombe.

Nadhani ili kuficha kuwa mwendesha bodaboda ambaye ni mchungaji ameamua kusema usafiri ulikuwa wa bajaji.
 
Sidhani hata kama ulikua mnywaji bwashee 😀 au hela imeisha ? Lamomy 😹😹
Kwahiyo siku hizi mnanitag pamoja na emoji zangu? 😹😹

Huyo mgonjwa kwa sasa muacheni anywe maji ana dose..!!
Wee kurushwa na boda unafikiri mchezo? 😹
 
Back
Top Bottom