Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Alifanya mtihani wa darasa la Saba ana mimba,niliporudi likizo ya midterm form one nikamkuta na mtoto.
Huku Namtumbo binti wa miaka 13 kuingia labour na kuleta kiumbe sio kitu Cha ajabu
Huko namtumbo niliona serikali ikihangaika Sana maana binti akichezwa unyago Kwisha habari yako. Na ukienda kijijini watu wa umri wa 30 years Ni wazee kabisa Hadi na wajukuu, inashangaza sana
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Wadhungu wanasemaga golden chance never come twice.mungu alimpa ili ampime akili yake uko sawa sawa au laaa sasa yeye kajisahu kaleta ushubwada.apambane ya ela yote
 
Kwanini mtu mzima ushindwe kuji control maana una akili na utashi unaishia kuzaa watu ka utitiri huku unakuja kuwatesa huwezi kuwatunza watoto wanakuwa wa mitaani na watapiamlo, huo ka si ukosefu wa akili Nini. Fanyeni zinaa yenu Ila sio kuleta viumbe msivo weza hata kuwalisha na kuwavisha.
Unaposema hayo ila kumbuka kuna baadhi ya familia Leo zinaonekana kwa sababu ya watoto wao, namaanisha nini mwanzoni ziliishi maisha ya dhiki kweli kweli kukosa mahitaji ya muhimu ilikua Ni sehem ya maisha yao lakini ni watoto hao hao waliozaliwa ndio wamebadilisha historia ya familia kwa ujumla kama wazazi wao wangebaki na mawazo ya kutokuzaa kwasababu hawana namna ya kuwalea pengine wazazi hao wangeendelea kuishi kwa taabu maisha yao yote
 
Hizo case unazosemea Ni very few na ilikuwa rahisi enxi za Nyerere free education sikuhizi Hali imebadilika Sana, sikuhizi kila kitu ununue uzae huwezi walisha watoto utegemee miujiza that's never
 
Mbona hata nyie mnachepuka hata mkipewa kila kitu,so sioni Cha kumlaumu hapo, ujinga wake ni alishindwa kula na kipofu hafu hajielewi inakuwaje mama watoto watano Hana akili hivo Wala hafikirii future ya wanawe!
Sisi tukichepuka tunafanya kimyakimya baadae tunarud kwa nyumba my dear
 
Hata miaka 20 haitoshi kujua tabia ya mkeo.
Mimi nimeshuhudia watu waliokimbiwa na wake zao walioishi nao kwa zaidi ya miaka 25.
kuna mzee aliwahi nambia mwanamke anakupenda zaidi ukiwa na nguvu za kiume bt umri unapokwenda nguvu zikaisha au kupungua hapo mwanamke hukuchukulia kama ke mwenzake na kukuchukia bila sababu
 
Ndio hivyo,sasa hapo tunaongelea mwanamke wa kawaida asiye na tamaa.
Kuna wanawake wengine umeishi naye kwa miaka 30 umestaafu kazi ukaishiwa pesa anakukimbia.
kuna mzee aliwahi nambia mwanamke anakupenda zaidi ukiwa na nguvu za kiume bt umri unapokwenda nguvu zikaisha au kupungua hapo mwanamke hukuchukulia kama ke mwenzake na kukuchukia bila sababu
 
A
Hizo case unazosemea Ni very few na ilikuwa rahisi enxi za Nyerere free education sikuhizi Hali imebadilika Sana, sikuhizi kila kitu ununue uzae huwezi walisha watoto utegemee miujiza that's never
All in all suala la idadi ya watoto linabaki kwa wazazi ndo wanaamua wazae watoto wangapi Ba watawalea kwa njia ipi coz hata njia ya malezi pia tunatofautiana nadhani hata malengo ya idadi ya watoto pia lazma tutofautiane...
 
Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom