Hivi ndivyo mlivyofundishwa?
kuna ambao wamefundishwa hivyo na siku hizi naona watoto wa kike wanapelekwa kungfu. sihauri kijana wangu apige mke maana anaweza umbuka
Hivi ndivyo mlivyofundishwa?
ukiacha kupiga.. majukumu mengine ya kiongozi ni yapiKuna kitu ambacho mnajidanganya sana
Mnataka ndoa isiwe na kiongozi jambo ambalo halipo
Kama kutakuwa na kiongozi ni wazi kuwa kuna ambae anaetakiwa amtii huyo kiongozi na kazi ya kiongozi ni kutoa maelekezo
Kiongozi nae anakosea lakini namna ya kuadhibiwa ni tofauti na yule ambae sio kiongozi
Au na hilo mnalikataa?
Au mnasema kiongozi ni mwanamke?
Kwani mwanaume yy hakosei?????????kwahiyo nayy akikosea apigwe??????
ukiacha kupiga.. majukumu mengine ya kiongozi ni yapi
uongozi mzuri ni wa kuelekeza kwa maongezi na sio kupigana
Inatemeana na aina ya mtu unaemwongoza hapo.
Kuna mwingine bila kumwacha na makofi mawili anajisahau kama wewe ndo kiongozi.
Ukishampa makofi kadhaa kama zawadi akili inamkaa sawa.
Nafikiri Mungu amekupa wa kuendana na wewe (anayefurahia kichapo). maana minimempata anayeendana na mimi pia, asiyepiga wanawake
Kipigo ni kipigo tu hakuna ka kipigo, hayo mambo ya kizamani!
Hakuna mwanaume anae oa kwaajili ya kupiga.
Kila jambo linalotokea lina kuwa na sababu na pia mazingira ya kulitengeza jambo hilo.
Nyie wanawake ndio mnao tujenga katika mazingira hayo ya kuwashitua na makofi ya uso.
unavyoongea ni kama vile umeshajihalalishia na kujipa haki ya kumpiga mwenzako.
Uko off topic kabisaaaaaa!!!!!!!
Kipigo kiendane na kosa jaman
kuna wanaume wamejaliwa mkono mwepesi yeye kidogo ashakupiga
Hahahahahahag ukiona hivyo basi ujue hata huyo mwanamke anafurahia hicho kipigo.
Yani katika kitu ambacho kitanikosesha uvumilivu mimi kwenye ndoa ni siku mwanaume anyanyue kimkono chake kunipiga
ntamtahiri....