Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,537
- 171,243
Mwanamke lazima aguswe kidogo bhana.. Makofi ya uso hata akipaka poda isikae ili kesho yake asirudie tena.
mie sipo tayari nitamrukia kichwa siku hiyo akashtaki kwa mama mkwe
Mwanamke lazima aguswe kidogo bhana.. Makofi ya uso hata akipaka poda isikae ili kesho yake asirudie tena.
mie sipo tayari nitamrukia kichwa siku hiyo akashtaki kwa mama mkwe
aaah baba paroko bana una maswali sana kama mwalimu hata sio polisi
make maswali ya polisi ni 6 tu, 5W and single H
(who,when,why,what,which and How)
ya mwalimu sasa
Section A jibu yote, Section B chagua moja, Section C jibu mawili n.k n.k
kitendo hicho kinanikera sana cha kumsulubisha mwanamke kwa mapigo
kwani yeye amekuwa gogo au amekuwa tembo kila wakati kupiga
ili aende kwenye mwelekeo wke kuna kabila fulani silitaji hapa
wana mtindo huo wa kuwapiga wanawake mpaka wanawake wamezoea
hilo hiyo na kuona ni kawaida na ni ndani ya mapenzi na kumbe si lolote
wanaumizwa tu mfumo wao wa ndani wa maumbo
Wanaume kama mtalitambua hili jambo kuwa linatukera sana basi
mmengechukua hatua kali dhidi ya wale ambao wanagandamiza
wanawake kwenye mfumo dume wenu
mm binafsi sipendi kabisa kubamizwa na endapo ntabamizwa
nitachukua sheria na haki za binadamu zifanye kazi yake
mie sipo tayari nitamrukia kichwa siku hiyo akashtaki kwa mama mkwe
Huyo wakumrukia kichwa labda awe mzembe tu!! Ila akiwa kama mimi we ndo utaambulia manundu..
wanawake kama nyie ndo ninao watafuta ili niwasulubu barabara
tena kama wewe navuta hizo rasta hadi nachomoka nazo...
Hahahahag hizo rasta mbwembwe tu ni zakuegesha..!
Nakucharaza na panga.
Hadi uje kunicharaza mi nshakupiga kitendo longiii
unatakiwa uvumilieNa wanaume tukikosea watupige
Mkuu? Au inakuwaje!
Kunyanyasa kunaeleweka
Kuonya kunaeleweka
Usijidai hujui hili!!