Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Wanawake na msamiati mpya dhidi ya wanaume………!

Basi nishajigundulia. Nikitaka kujua habari za Remmy kwa undani wake, na kama ameshawahi kupangiwa chumba Mabwepande na Ritz basi naenda Salon ya pale kwao Kimara Temboni, nikimpa Chipthi kuku mdada mmoja ananieleza a 2 z!.

Heheheeeeee....
Saluni zangu mie si huko ni za kulee high branch.
 
Last edited by a moderator:
Hivi watu wanaoshinda Jf toka asubuhi day1 hadi asubuhi day2 kama vile Erickb52 nao wana kasoro eeh? au Jf ni kazini! Naomba ufafanuzi!

Mwenyewe namshangaa huyu kijana, inaonekana naye ni yuleyule ana kasoro.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kuweka na kutoa pesa kwenye wallet ha ha haaaaaa
Hahahaaaa kweli aise lol
Alhamisi wakianza tena unishtue tuangalie wote eeeh
Halafu Kaizer huyu binti ushamkagua au nimuulize Asprin ?
Nahisi shikolo anatakiwa kuwekwa kwenye list ya ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe namshangaa huyu kijana, inaonekana naye ni yuleyule ana kasoro.
Umeamua kuungana na PakaJimmy kuniponda?
Ntakumwaga uanze kulia tena oooh hunijui eeeeh?
Mi ndio b52 original hadi kwenye Dolar nimo tena USD 10,000/-
Dollar.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mzee Mtambuzi tunapoonegelea swala la kasoro au kipendacho roho kila mtu ana mtizamo wake. Kila mwanamke anayeingia katika uhusuiano wa kimapenzi huwa ana dhumuni au lengo ambalo limemfanya aingie kwenye uhusiano wa mapenzi na wewe. Wengine watakuwa na malengo ya kuishi na wewe milele, wengine kukuchuna na wengine kingono n.k usiniulize utajuaje kama mwanamke huyu ana malengo ya kuwa na wewe milele au la kwa sababu huo ni wajibu wako wa wewe wa kumchunguza huyo umpendaye na kubaini hayo malengo yake before its too late.

Tukiachana na malengo tukija kwenye swala la kupenda, mimi huwa ninaamini kuwa kila mtu ana sifa ambazo angependa mwenzi atakayempata awe nazo na endapo moja ya sifa zitakosekana kwa huyo mtu basi mtu huyo atahesabika kuwa ana kasoro kwa sababu amepungukiwa na sifa muhimu ambazo mtu huyo alikuwa anahitaji kutoka kwa mtu flani na ndio maana hata hao wanawake walisema kuwa huyo jamaa ana kasoro na kasoro yake ni kuwa hana shughuli ya kumwingizia kipato. Nadhani mpaka hapo utakuwa umenielewa. Kama utakuwa na swali zaidi...Am here for you.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaaaa.........
Usiwe na wasiwasi wewe hatujakusema na wala hatutakusema kamwe.
Najua nikiwepo hamtanisema, lakin nikiwapa kisogo-kosa la mwisho..."Pakajimmy mwenyewe kumbe ndo huyu, sie tulidhani bonge la tall, kumbe kibushuti"...
 
Back
Top Bottom