Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,692
Nyie ndio wale bakabaka mnaokopesha kule kibaha mpka misugusugu siku za rejesho mnakimbizana na wakina mama pmj na kutoa vipigo sema nn mnawabembeleza sna wakope wakati mnawajua ni changamoto
Hii ya chupi imekaaje isijekuwa wake zetu wakati mwingine wakitoka huko wanarudi hawana chupiHujafika huko wapi?
Mambo mnayafanya wenyewe yawe mengi, una michezo 5+, naskia kuna michezo hadi ya chupi 😂
Biashara moja pasua kichwa sana. Watanzania wengi hawaoni mikopo kama ni biashara ya wenzao. Nasema mtapata tabu sana.Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani
Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..
Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc
Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie
Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Bro, msifanye mambo kama hamjui sheria. Matrimonial properties haiwezi kuwekwa rehani kwa mkopo bila upande wa pili wa ndoa kuwa na taarifa na kuidhinisha. Siku mme mmoja akaja kuwafungulia kesi mtalipa vitu vyote.Sasa mtu anakopa individual mume wake sisi anatuhusu nin? Pia sisi tunachukua asset za mwanamke anazofanyia biashara mfano vifaa vya saluni au duka ,pia Kwa wale ambao wanaume wao wako nje ya nchi sisi tunabeba vitu mwanamke alivyoweka rehani so hayo mambo ya kumjua mume naona Sasa itatubidi tuanze kuzingatia napo ni ustaarabu tumeamua tufanye manake wanaume wenzetu tunawaonea huruma sana ....
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ni hatari kutoa mikopo kulitaka kunipa UKIMWI vijijini nimekimbilia mjini .Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani
Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..
Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc
Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie
Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mike wewe ni kichwaKiukweli washkaji zangu wte haijawai tokea wamepata kukopa kwangu ,wengine wakipata shida wanaomba niwasaidie tu freely bila mkopo na hapo nawapa kama sina nasema sina au kama nina nusu nampa na hii imetokana na background check nayofanyiaga watu kabla sijawapitisha rasmi wawe watu wangu wakaribu
Kiufupi Huwa nachuja wapuuzi wte ambao hawana financial literacy, huwezi nikoa hela ukasema mke wako anataka kujifungua Yani miezi 9 yte hujajipanga ndo uje kukopa kwangu
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mh nimeshika tama nawasikiliza na mada zenu kandamiziHao unakuta wana madeni kwenye viduka vya Mangi mpk huruma.![]()
Nyie ndio wale bakabaka mnaokopesha kule kibaha mpka misugusugu siku za rejesho mnakimbizana na wakina mama pmj na kutoa vipigo sema nn mnawabembeleza sna wakope wakati mnawajua ni changamoto

siko ukanda huo wa kibaha wa land force au nyumbu ,Niko ukanda mwingine japo sisi kipigo hatutoi manake wagonjwa wengi hatutaki kesi za Bure na maisha Yenyewe matamu haya ...Hii ya chupi imekaaje isijekuwa wake zetu wakati mwingine wakitoka huko wanarudi hawana chupi

Biashara moja pasua kichwa sana. Watanzania wengi hawaoni mikopo kama ni biashara ya wenzao. Nasema mtapata tabu sana.
Nina shares kwenye MF fulani, dah kisanga huwa tunakiona.

hehehee kweli tabu tunaipata aisee japo hela zipo ila wasumbufu Hawa ndo wanataka kututia kitanzi kama CCM Hatuwezi Lipa kaka manake sisi tunabeba mali aliyoiweka rehani na kusaini kwenye mkataba ,BOT walishatupa guidelines tunazingatia sana vipengele, huwezi tukakupa hela alafu ukimbie na hela yetu kwanza tu kisheria sisi tunaweza beba zaidi ya mali yako manake unadaiwa laki 4 faini inafika mpaka 2 million unadhani huyo mtu atapata muda wa kukushtaki ukibeba Mali yKe ya laki 8....pia mtu anamikopo zaidi ya 6 hiyo nguvu ya kukushtaki unapata wapi? Sisi sio kama oya au ASA wanaopiga makofi na matusi juu Kwa wateja sisi tuko very strategic pia tushaseti mfumo wa kibepariBro, msifanye mambo kama hamjui sheria. Matrimonial properties haiwezi kuwekwa rehani kwa mkopo bila upande wa pili wa ndoa kuwa na taarifa na kuidhinisha. Siku mme mmoja akaja kuwafungulia kesi mtalipa vitu vyote.
Ni hatari kutoa mikopo kulitaka kunipa UKIMWI vijijini nimekimbilia mjini .
Kaa mbali na walimu wa kike na manesi wa vijijini kwenye mikopo ni tabu tupu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

daa hatari sanaShukrani sana Mike,acha tu some upepo mtaani Kuna hela kama mtaji unao na ukatulia ...
Tumepata pa kuanzia lakini hiyo michezo ikitamatika mbona hakuna tofauti na mwanzo shida ni zile zile kwa walio wengi, hakuna maendeleo? Kwa haraka haraka jibu naona umeshalitoa ni ngumu kutoka kwenye huo mzunguko.
Hujanielewa. Mke kuweka mali za ndani bila mume kujua ni kosa. Mume akibaini na akagoma vitu visitoke au akawashitaki ninyi pia nakuwa mmeingia mkenge.Hatuwezi Lipa kaka manake sisi tunabeba mali aliyoiweka rehani na kusaini kwenye mkataba ,BOT walishatupa guidelines tunazingatia sana vipengele, huwezi tukakupa hela alafu ukimbie na hela yetu kwanza tu kisheria sisi tunaweza beba zaidi ya mali yako manake unadaiwa laki 4 faini inafika mpaka 2 million unadhani huyo mtu atapata muda wa kukushtaki ukibeba Mali yKe ya laki 8....pia mtu anamikopo zaidi ya 6 hiyo nguvu ya kukushtaki unapata wapi? Sisi sio kama oya au ASA wanaopiga makofi na matusi juu Kwa wateja sisi tuko very strategic pia tushaseti mfumo wa kibepari
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Pole sana 😂Mh nimeshika tama nawasikiliza na mada zenu kandamizi
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
haya njoo nikukumbatie binti yanguMaisha ni hesabu na nidhamu, ukiweza kuvisimamia hivyo utaishi kwa amani.
Binafsi sijawahi wala sijioni kukopa kokote. Ile michezo wanayoicheza wanawake wenzangu nayo ni chanzo pia, michezo mingi kipato kidogo ndio mwanzo wa kukopa kopa hovyo na ni ngumu kutoka katika huo mzunguko.
Asante baba.haya njoo nikukumbatie binti yangu
furaha yangu kuwa na weweAsante baba.
😁😁😁😁😁😁😁😁Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatut