Wanawake na mikopo

Wanawake na mikopo

Kumbe jirani upo na madini hivi? Nishakuzoea kwenye emoji za kucheka.

Umeeleza vyema sana, hawa wa uswahilini wengi ni kutambiana kuficha umaskini wao na hali duni. Wengi wanafanyia mambo ya hovyo.
😂😂😂😂 Ntakuchapa
Halafu hata sio wa uswahilini wapo wengi wengine watumishi ila wananuka madeni..!!
Unajua maisha tunatofautiana, kuna watu wana majukumu makubwa ya kifamilia mpk hawezi kuhifadhi kiasi hata kidogo cha fedha..
 
kama mtu anaweka finger print ,sahihi na vitambulisho anaacha bado anakimbia na deni sembuse hii kukopeshana juu Kwa juu kisa ushkaji

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Depal hapa alikosea sana, bora nikukope hela yangu mwenyewe kuliko kuchukua jukumu la kwenda kukukopea pesa ambazo hata mimi sina.
 
So we hujawahi? Kopesha mshikaji?
Naomba uniuzie hiyo roho ngumu ya hivyo
Kiukweli washkaji zangu wte haijawai tokea wamepata kukopa kwangu ,wengine wakipata shida wanaomba niwasaidie tu freely bila mkopo na hapo nawapa kama sina nasema sina au kama nina nusu nampa na hii imetokana na background check nayofanyiaga watu kabla sijawapitisha rasmi wawe watu wangu wakaribu

Kiufupi Huwa nachuja wapuuzi wte ambao hawana financial literacy, huwezi nikoa hela ukasema mke wako anataka kujifungua Yani miezi 9 yte hujajipanga ndo uje kukopa kwangu

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi Huwa nachuja wapuuzi wte ambao hawana financial literacy, huwezi nikoa hela ukasema mke wako anataka kujifungua Yani miezi 9 yte hujajipanga ndo uje kukopa kwangu
Mkuu ktk hao hao uliochuja. Anatokea mwana anakwambia nimekwama kitu flani, niongezee 1.5m itarudi mwezi flani.
Ukiangalia ni mshkaji, chance za kuipata hiyo 1.5m unazo?
Unamchomolea? Nilikwamia hapo
 
Ntakuchapa
Halafu hata sio wa uswahilini wapo wengi wengine watumishi ila wananuka madeni..!!
Unajua maisha tunatofautiana, kuna watu wana majukumu makubwa ya kifamilia mpk hawezi kuhifadhi kiasi hata kidogo cha fedha..
Yani nikisema nianze na kuwachambua watumishi ni huruma aisee ,mtu Kila siku salary slip yake imetoboka madeni

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂 Ntakuchapa
Halafu hata sio wa uswahilini wapo wengi wengine watumishi ila wananuka madeni..!!
Unajua maisha tunatofautiana, kuna watu wana majukumu makubwa ya kifamilia mpk hawezi kuhifadhi kiasi hata kidogo cha fedha..
Hao atleast wana sababu, kuna wasio na sababu.
 
Back
Top Bottom