Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Unakuta mchezo umeisha lakini bado ana rejesho la mkopo, hivyo inabidi aendelee kucheza ili alipe rejesho.Tumepata pa kuanzia lakini hiyo michezo ikitamatika mbona hakuna tofauti na mwanzo shida ni zile zile kwa walio wengi, hakuna maendeleo? Kwa haraka haraka jibu naona umeshalitoa ni ngumu kutoka kwenye huo mzunguko.
Akimaliza kulipia mkopo, kwenye mchezo alishachukua pesa anatakiwa kuwatolea wenzie, inabidi akope tena.
Nayaona haya, na mara zote nawaambia wanachokifanya ni umasikini hawasikii.
