Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 964
- 2,045
Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi kupuliza kipyenga mtaani
Kiukweli Wanawake wana mikopo mingi sana zaidi ya 4 ,unakuta OYA,ASA,Vikoba huko kakopa mara masokoni Kuna michezo Yao kusaidiana Hela ,mbaya zaidi wanakopa kimya kimya na wanasema waume zao wasijue ,ikifika muda wa rejesho wako tayari hata wakupe "tunda kimasihara",ubaya Hadi hati za nyumba wanaacha ,kadi za magari mliyowanunulia wanaacha , furniture za ndani kwa wale waume zao wako nje ya nchi..
Kuna mmoja tulienda kuchukua rejesho weekend tukamkuta peke yake akafungua mlango akaja uchi akasema Hilo ndo rejesho lake kama hatutaki tumuue, alafu ubaya zaidi kwenye hiyo mikopo hakuna Cha maana wanachofanyia zaidi ya kutunzana kwenye sherehe makabati etc
Ubaya kwenye story wakati wa makusanyo ndo utasikia wanasema yule umempa Hela wakati kazi yake kudanga TU Hilo duka Wala sio lake.. kiukweli Wanawake ni changamoto sana na mikopo japo sisi udange ,uwe mwizi ,uwe mwanga rejesho letu tunataka litimie
Kama una mke muwezeshe kiuchumi na mfungulie biashara pia muulize kama ana mikopo kachukua msaidie kulipa itamsaidia kupunguza kufanya maamuzi yasiyo mazuri
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app