Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,041
KumekuchaWe ni tajiri bhana usipinge, tena tajiri mhongaji😅
KumekuchaWe ni tajiri bhana usipinge, tena tajiri mhongaji😅
Hao unakuta wana madeni kwenye viduka vya Mangi mpk huruma. 😂Yani nikisema nianze na kuwachambua watumishi ni huruma aisee ,mtu Kila siku salary slip yake imetoboka madeni
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sijawahi kusema uongoKumekucha
Yani Kwa hao niliochuja hata asiponilipa sitolalamika manake Kuna mambo unakuta alishanisave sana so mengine inakuwa tunapotezea juu Kwa juu,Mfano Kuna siku nilikuwa na emergency ya laki tano nikaenda kutoa kadi ikazama kwenye ATM nikapiga simu Kwa mshkaji fasta akarusha baadaye nikarudishaMkuu ktk hao hao uliochuja. Anatokea mwana anakwambia nimekwama kitu flani, niongezee 1.5m itarudi mwezi flani.
Ukiangalia ni mshkaji, chance za kuipata hiyo 1.5m unazo?
Unamchomolea? Nilikwamia hapo
😁😁 hongeraSijawahi kusema uongo
Kiukweli maisha yanatufunza mengi sanaHao unakuta wana madeni kwenye viduka vya Mangi mpk huruma.![]()
Asandi sana lafikii😁😁 hongera
Tunahamishaga madeni.
tunayatoa ASA unalipa BLACK unapeleka KAUSHA DAMU unalipa KIKOBA

inasikitisha kwakweliKwa wanaume mafirauni hapa ndio opportunities nyingi za kumwaga, unawanasa kila aina




sanaa ni huzuni
Naona umefurahiMh!!!!
Sijafurahi maana Mkopo una nafasi yake katika maisha na ustawi wa mwanadamu! Hakuna mfanyabiashara asiyekopa.Naona umefurahi
we na huko msituni kwako sasa, halafu hujarespond🧐🧐Sijafurahi maana Mkopo una nafasi yake katika maisha na ustawi wa mwanadamu! Hakuna mfanyabiashara asiyekopa.
Kukopa kuna kanuni ambayo tunaita Business Plan. Hata kama unakopa kwa ajili ya kumcheza mwanao, lazima uwe unauhakika jinsi ya kulipa. Bila kuwa na jinsi ya kulipa, ni uhuni.
Tunakopa, tutaendelea kukopa ila tuna mikakati madhubuti ya kulipa. Tatizo wengi wetu, tunadhani mkopo ni zawadi. Huo Mtihani.
Narudi msituni!
Tatizo tukiwa msituni hata network shida.we na huko msituni kwako sasa, halafu hujarespond🧐🧐
Haya, saizi uko kwenye network ndo unijibu sasaTatizo tukiwa msituni hata network shida.