Wanawake na mikopo

Wanawake na mikopo

Sitasahau
Wife aliniletea shoga yake nmdhamini ASA. Nkawa nmemuuliza unamfahamu course ilikua Mara yangu ya kwanza kumuona, akasema anamfahamu na nkamuuliza anjishighulisha na nini akasema ni ma ntilie. Dada yule alilalamika sana na mixer kuniomba sana mpaka nkamwonea huruma nkasema moyoni kweli huyu anashida.
Basi nkawa nmemdhamini mikopo wa laki 5.
Basi kalipa Kama marejesho Saba hivi deni likawa limebaki Kama laki 2 na ushee akawa msumbufu na kuhuzulia kikundi akawa haendi Wala rejesho haliendi. Nikawa nasumbuliwa mm mdhamini, nkimfata kwake hafingui mlango nagonga mpaka basi na unakuta yupo ndani kabsa.
Kumbe dada mikopo ilimuelemea alikua kakopa tena sehemu nyingine.
Kilichofuata kale kaofisi no mbili kakaenda mfilisi vitu chumbani kwake na dada yule akahama bila kunijulisha mm Wala wife.
Kumbe yule dada alikua Hana kazi zaidi ya kujiuza mwili
Nlipata tabu sana mpaka nkaapa stomdhamini mtu kwenye Mambo ya mikopo
Wife wako- ndege wafananao

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Hayo mambo ndo na sisi tunakutana nayo mengi sana ,wengi unakuja kushtua wanajiuza
 
Sasa wao kukopa ni fulsa kwako ya kibiashara ebu itumie vizuri achana na ushauri
Maisha ni yao na mikopo wanakopa wao kile wanaenda kufanyia hakikuhusu cha msingi wape pesa wakija wakopeshe pesa na hakikisha wanarejesha mkopo

Na usipo wakopesha ww wataenda sehemu ingne watakopa utapoteza wateja
 
Lengo letu sio kukopesha tu bali kuwainua kiuchumi alafu hakuna microfinance inayokufa kwa kukosa wateja ,ukisikia microfinance imefilisika ujue walikuwa wanawachekea watu wanaowadai ,ila kuhusu kukosa wateja hakuna ,ndomana wengine wanawekaga hadi riba asilimia 40 kinyume na taratibu za BOT alafu Bado wanakuwa na wateja

Kwaiyo kusudi la mkopo ni kuwainua wakienda kinyume tuna jukumu la kuwashauri na ni jukumu letu pia...so tuna haki ya kuwauliza sasa kwenye majukwaa hela huwa wanapeleka wapi ambapo mendeleo hayaonekani
 
Sasa hapo mnafanyaje?
Tunavizia muda wa wateja saa mbili usiku tunapiga kusumbua rejesho na huwa wanatoa aisee japo wao hawaelewi sisi kama tulishapata info zao muhimu...kufikia saa sita usiku anakuwa ashakamilisha nusu deni au deni lote
 
Sasa mtu anakopa individual mume wake sisi anatuhusu nin? Pia sisi tunachukua asset za mwanamke anazofanyia biashara mfano vifaa vya saluni au duka ,pia Kwa wale ambao wanaume wao wako nje ya nchi sisi tunabeba vitu mwanamke alivyoweka rehani so hayo mambo ya kumjua mume naona Sasa itatubidi tuanze kuzingatia napo ni ustaarabu tumeamua tufanye manake wanaume wenzetu tunawaonea huruma sana ....

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kisehria mwanamke aliyeolewa anaruhusiwa kukopa bila kumjuza mume na akishindwa kulipa mume anawajibika, kama ikibidi kwenda jela ataenda mume. Lakini mkopo uwe ulikuwa kwa ajili ya familia ambapo mume hakutimiza wajibu kama baba.
 
Sawa sawa nimekupata
 
Back
Top Bottom