Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,850
Hakika
Hakika
Tunatunzana kwenye kitchen party. Wait, Kwahiyo mleta mada ametuchoka sisi wateja wake au hatutaki tena. Mbona anahamasisha tuwezeshwe kiuchumi, sasa atapata wapi wateja tena?
Hatari sana hiiYani inastaajabisha sana aisee ,ngoja waje waseme hela wanapelekaga wapi na ukitaka kuamini zaidi wachunguze utaona ,Kuna wengine Hadi wanakimbia wanaacha nyumba zao kisa madeni
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mimi niliwahi kukopa ASA lengo niongeze msingi kwenye biashara yangu kilichotokea sikuamini.Niligundua mikopo ina mikosi na pesa yake ina majini.
Halafu hao wanao kusanya pesa za rejesho wanakuwaga wakuda sana😁😁😁Tunatunzana kwenye kitchen party. Wait, Kwahiyo mleta mada ametuchoka sisi wateja wake au hatutaki tena. Mbona anahamasisha tuwezeshwe kiuchumi, sasa atapata wapi wateja tena?
Kilitokea nn hadi useme hivyo shem?Mimi niliwahi kukopq ASA lengo niongeze msingi kwenye biashara yangu kilichotokea sikuamini.Niligundua mikopo ina mikosi na pesa yake ina majini.
Kumbe ndio mnapotumia hela zenu kwa wingi.Tunatunzana kwenye kitchen party. Wait, Kwahiyo mleta mada ametuchoka sisi wateja wake au hatutaki tena. Mbona anahamasisha tuwezeshwe kiuchumi, sasa atapata wapi wateja tena?
Mi brother mkuuUpo sahihi sister
Shem huwezi amini eti baada ya kukopa ule mkopo wateja nilikuwa nawatafuta kwa tochi🤨😁😁Kilitokea nn hadi useme hivyo shem?
Sijajua ngoja Lamomy atujuze, mchezo wa chupi upoje ?Hii ya chupi imekaaje isijekuwa wake zetu wakati mwingine wakitoka huko wanarudi hawana chupi
Pole sana shem, hapo kitaalam mkopo unakuwa mzigo usiobebeka unakutesa kulipa mpaka unafunga biashara.Shem huwezi amini eti baada ya kukopa ule mkopo wateja nilikuwa nawatafuta kwa tochi🤨😁😁
Asante shem,yaani ilifikia kipindi dukani kwangu nakuona kama jela,Namshukuru sana kipenzi changu alinilipia ila kwa mikwara asisikie tena nakopa kama nina shida nimwambie.Pole sana shem, hapo kitaalam mkopo unakuwa mzigo usiobebeka unakutesa kulipa mpaka unafunga biashara.
Kipenzi chako huyu huyu nnaemjua? 😎Asante shem,yaani ilifikia kipindi dukani kwangu nakuona kama jela,Namshukuru sana kipenzi changu alinilipia ila kwa mikwara asisikie tena nakopa kama nina shida nimwambie.
Hapana bwana huyu ni mpenzi wangu wa Jf(wautani)Kipenzi chako huyu huyu nnaemjua? 😎
Kuna muda wanawake mnajiingiza kwenye mahangaiko na matatizo wenyewe wakati msaada upo ila hamsemi.
Kwahyo kumbe mi ni shemeji wa utani 😂Hapana bwana huyu ni mpenzi wangu wa Jf(wautani)
Nasemea wa halali ambaye anatambulika kwa Allah
Wewe tena unataka kuzua mambo na usiku huu😁😁😁Kwahyo kumbe mi ni shemeji wa utani 😂
Au basi asije akaona 😂Wewe tena unataka kuzua mambo na usiku huu😁😁😁
Nampenda ila tukiwa Jf na yeye piaAu basi asije akaona 😂
Sasa uo upendo gani kama data? Usipokuwa na MB ndio basiNampenda ila tukiwa Jf na yeye pia
nje ya hapo kila mtu ana utaarabu wake😁