Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,143
Waulizeee. Mimi siwezi kuwajibia hao wenye stress za maisha na marejesho ya kukausha damu.Hela zinaelekea wapi nyie watu? Mtu ana kikoba, ana michezo kedekede lakini bado hana unafuu wa maisha stress zimemjaa, swali n hela mnazozipata mnazipeleka wapi?
ila kikobani kukopa ni lazima.
Michezo wanakuja kukujibu wanaocheza.
Nipo Saccoss. Ila sijawahi kukopa, nawekatu… maana sina mahitaji makubwa ya pesa
