Wanawake na magari


Hapo Kwenye Red inaitwa Tie rod end. Anyway ulisharudi kutoka US??? au na huko kuna vumbi kama hapo kwenye blue?? Usinitupie mawe Kasinde
 
Last edited by a moderator:
Mie nina baiskeli nitachangia nini kuhusu magari any way ngoja nisubiri labda wenye baiskeli watakuja na mada zao ili nasi tupate kuchangia mawazo yetu panapotuhusu
 
Nabado mdada akikamatwa na trafik utaona anapiga simu kwa mume wake au mpenziwe ili aongee na trafik au aambiwe afanyaje hehehe huwa nacheka sana

Trafiki unamwangalia huku unatabasamu unamwambia me yani sikujua kama ni kosa unafikiri acha .... eeeh kwa hiyo tufanyaje sasa ukishamwingiza yeye anajifanya anakutrain unamwambia bye bye kesho ukipita unamsalimia shikamoo kaka trafiki siku imepita rafiko tayar huyo
 
Hahahahaaaaaa!!!! That the reality Bro!!! kwa wale mnaosoma btn the lines!!!

Niko salama sana Mkuu... Familia haijambo pia.
You have an independent woman right there..she even forgets upo anajiita single!!!

Ooops marahaba...salama!??
 
We hujaacha uchonganishi tuu, mbona mchochezi hivoo, Ebenezer Junior hajambo??!
You have an independent woman right there..she even forgets upo anajiita single!!!

Ooops marahaba...salama!??
 
Eehhh Doctor mahabat, ukipita kwenye huu uzi vua miwani usione maandishi, halafu weka zile za kupimia kifua huku unasikiliza mapigo masikioni kifaa chenyewe sjui kinaitwa nini...scope hikohiko weka masikioni kwako kisha sikiliza mapigo yangu ya moyo huku mie nakukuna kichwani kama vile nahesabu mvi zako looh, usimsikilize Mentor

Hahahahaaaaaa!!!! That the reality Bro!!! kwa wale mnaosoma btn the lines!!!

Niko salama sana Mkuu... Familia haijambo pia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…